-
Iran: Kujitakia makuu Marekani kusiathiri masuala muhimu Vienna
Mar 10, 2022 23:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema masuala ya msingi na kuondolewa Iran vikwazo havipaswi kuathiriwa na tabia ya kujitakia makuu Marekani.
-
Khatibzadeh: Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo za Marekani
Mar 07, 2022 08:55Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inachukua maamuzi kwa mujibu wa nyenendo na si kwa mujibu wa jumbe zisizo wazi za Marekani katika mazungumzo ya Vienna.
-
Rais Ebrahim Raisi: Wananchi wa Ukraine ni wahanga wa siasa za kishetani za Marekani
Mar 07, 2022 00:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Ukraine wamekuwa wahanga wa siasa za kishetani za Marekani.
-
Russia yaonya kuhusu kutumwa magaidi wa ISIS nchini Ukraine
Mar 06, 2022 01:19Idara ya Ujasusi wa Nje ya Russia (SVR) imesema katika taarifa yake ya siku ya Ijumaa kwamba Marekani inawapa mafunzo magaidi wa Daesh (ISIS) katika kituo cha Al-Tanf nchini Syria ili wapelekwe Ukraine.
-
Hizbullah: Vikwazo vya Marekani haviathiri mapambano ya Walebanon
Mar 05, 2022 10:46Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika Bunge la Lebanon amesema vikwazo vya Marekani havina taathira yoyote katika mapambano ya Kiislamu au muqawama na kuongeza kuwa, Hizbullah ina njia mbalimbali za kusimama kidete na kukabiliana na mashinikizo ya maadui.
-
Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Marekani imehusika na yanayoendelea Ukraine
Mar 04, 2022 09:00Khatibu wa Muda wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehrah amekosoa vikali mienendo ghalati ya Marekani katika medani ya kimataifa na kusisitiza kuwa, US ni nembo ya ujahili mamboleo.
-
Maelfu ya Wamarekani wajisajili kwenda kupigana Ukraine
Mar 04, 2022 08:44Maelfu ya wananchi wa Marekani wameuandikia barua ubalozi wa Ukraine mjini Washington wakiomba kuruhusiwa kwenda kupigana na jeshi la Russia wakishirikiana na wanajeshi wa Ukraine.
-
Jibu la China kwa tuhuma za Blinken
Mar 04, 2022 08:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Wang Wenbin ameyataja matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken kuhusu mkoa wa Xinjiang kuwa ni shutuma zisizo na msingi. Katika ujumbe wake wa video, Blinken aliishutumu China kwa kuendeleza kile alichodai kuwa ni mauaji ya kimbari na uhalifu dhidi ya binadamu katika mkoa wa Xinjiang.
-
Shamkhani: Mashinikizo ya juu yamefelishwa na sera ya muqawama
Mar 03, 2022 22:59Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema stratejia ya muqawama amilifu ndiyo iliyoishinda na kusambaratisha sera ya mashinikizo ya kiwango cha juu zaidi ya aliyekuwa rais wa Marekani, Donald Trump dhidi ya Iran.
-
Iran yaionya Marekani, yasema ina mpango wa pili iwapo mazungumzo ya Vienna yatafeli
Mar 01, 2022 07:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran Saeed Khatibzadeh ameionya Marekani kuhusu ‘kuhadaa na kuboronga’ katika mazungumzo ya Vienna yaliyoitishwa kufufua mapatano ya nyuklia ya mwaka 2015 ya JCPOA. Katika ujumbe wake kupitia Twitter mapema Jumanne, Khatibzadeh amesema Iran iko tayari kufikia mapatano kupitia mazungumzo lakini haitasubiri milele.