Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Marekani

  • Iran: Ni kwa manufaa ya US kulichukulia kwa uzito pendekezo letu

    Iran: Ni kwa manufaa ya US kulichukulia kwa uzito pendekezo letu

    Jun 09, 2025 07:59

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baghaei amesema Tehran hivi karibuni itawasilisha pendekezo lake kuhusu makubaliano ya nyuklia kupitia Oman, akitoa wito kwa Washington kutopoteza fursa hii, na kulichukulia kwa uzito pendekezo la Jamhuri ya Kiislamu.

  • Iran: Vikwazo vya US dhidi ya majaji wa ICC vinakirihisha

    Iran: Vikwazo vya US dhidi ya majaji wa ICC vinakirihisha

    Jun 08, 2025 23:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmaeil Baqaei amekosoa vikali hatua ya Marekani ya kuwawekea vikwazo majaji wanne wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kutokana na uchunguzi wao juu ya uhalifu wa kivita uliofanywa na Israel huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Kwa nini Marekani imewawekea vikwazo majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai?

    Kwa nini Marekani imewawekea vikwazo majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai?

    Jun 08, 2025 03:15

    Marekani mnamo Alhamisi, Juni 5, iliwawekea vikwazo majaji wanne wa kike wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa kushughulikia kesi zinazohusiana na Israel na hatua za Marekani nchini Afghanistan. Vikwazo hivyo, ambavyo mara nyingi huwekewa maafisa kutoka nchi zinazopinga Marekani, sasa vimewalenga maafisa wa mahakama ya kimataifa.

  • Kwa nini Trump ameshindwa kutatua migogoro ya kimataifa licha ya ahadi zote alizotoa?

    Kwa nini Trump ameshindwa kutatua migogoro ya kimataifa licha ya ahadi zote alizotoa?

    Jun 05, 2025 02:28

    Katika makala yake iliyopitia miezi minne ya kwanza ya utawala wa pili wa Donald Trump, tovuti ya CNN imeandika kwamba kabla ya kuingia madarakani, rais huyo alijigamba kwamba alikuwa na uwezo wa kutatua matatizo na migogoro mikubwa ya dunia, lakini hali ya sasa sio nzuri hata kidogo, ingawa yeye si rais pekee wa Marekani kutoa ahadi za uongo kuhusu suala hilo.

  • Trump na matakwa ya kupindukia kwa Iran: Je, Washington inataka kufikia makubaliano au kutwisha matakwa?

    Trump na matakwa ya kupindukia kwa Iran: Je, Washington inataka kufikia makubaliano au kutwisha matakwa?

    Jun 05, 2025 00:45

    Rais Donald Trump wa Marekani amekariri matakwa ya kupindukia mipaka ya Washington kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kwa ajili ya kufikiwa mapatano ya pande mbili.

  • Afisa wa utawala wa Biden akiri Israel imefanya jinai Ghaza

    Afisa wa utawala wa Biden akiri Israel imefanya jinai Ghaza

    Jun 03, 2025 03:33

    Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amekiri hadharani kwa kusema: "Ni jambo lisilo na shaka kwamba Israel imefanya jinai ya kivita huko Gaza."

  • Je, kubadilika mkakati wa kijeshi wa Marekani barani Afrika, ni kurudi nyuma au kubadilishwa mbinu?

    Je, kubadilika mkakati wa kijeshi wa Marekani barani Afrika, ni kurudi nyuma au kubadilishwa mbinu?

    May 30, 2025 08:49

    Jeshi la Marekani linaendelea kubadilisha na kulegeza misimamo yake ya awali kuhusu "utawala bora" barani Afrika na kukabiliana na vyanzo vya uasi na machafuko, na sasa linasisitiza kwamba serikali dhaifu za Kiafrika zinazoshirikiana na Marekani zinapasa kujitegemea zenyewe kijeshi na kiusalama.

  • Je, utawala wa Trump unataka kubadilisha kisiasa mazingira ya vyuo vikuu vya Marekani?

    Je, utawala wa Trump unataka kubadilisha kisiasa mazingira ya vyuo vikuu vya Marekani?

    May 29, 2025 23:35

    Kutokana na hali ya mvutano inayoendelea kati ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani na Chuo Kikuu cha Harvard, serikali imetaka kufutwa kwa kandarasi zote za kifedha na chuo hicho.

  • Onyo la Trump kwa Netanyahu baada ya kutishia kuishambulia Iran

    Onyo la Trump kwa Netanyahu baada ya kutishia kuishambulia Iran

    May 29, 2025 02:47

    Rais wa Marekani, Donald Trump ameripotiwa kuvutana na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika mazungumzo yao ya simu, baada ya nduli huyo wa vita wa utawala wa Kizayuni kutishia kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, na hivyo kuhatarisha mazungumzo ya kidiplomasia yanayoendelea kati ya Tehran na Washington.

  • Hamas yaafiki pendekezo la US la kuondoka askari wote wa Israel Gaza

    Hamas yaafiki pendekezo la US la kuondoka askari wote wa Israel Gaza

    May 29, 2025 02:37

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imesema imefikia makubaliano na Mjumbe Maalum wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi, Steve Witkoff kuhusu "mfumo jumla" wa kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS