-
Bahrain yamnyang'anya uraia Ayatullah Issa Qasim
Jun 20, 2016 14:25Utawala wa kizazi cha Aal Khalifa nchini Bahrain umeendeleza ukiukaji wake mkubwa wa haki za binadamu kwa kumnyang'anya uraia mwanazuoni mkubwa na mashuhuri wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Issa Ahmad Qasim.
-
Sheikh wa al Azhar: Shia na Suni na mbawa mbili za Uislamu
Mar 17, 2016 07:54Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema kuwa Shia na Suni ni wafuasi wa dini moja na ni mithili ya mbawa mbili za ndege mmoja
-
Utawala wa Aal Khalifa wafanya njama za kueneza chuki dhidi ya Mashia Bahrain
Mar 08, 2016 03:12Mkuu wa masuala ya uhuru wa kidini katika shirika la kutetea haki za binadamu la Bahrain ametangaza kuwa kuwatuhumu Waislamu wa Kishia wa nchi hiyo kwa uhaini kunakofanywa na vyombo vya habari vyenye mfungamano na utawala wa Aal Khalifa sasa limekuwa ni jambo la kawaida.
-
Wauaji wa Sheikh Shehatta wahukumiwa kifungo cha miaka 14 jela Misri
Feb 26, 2016 02:48Mahakama moja ya Misri imewahukumu kifungo cha miaka 14 jela watu kadhaa waliohusika na mauaji ya mwanazuoni wa madhehebu ya Shia wa nchi hiyo, Sheikh Hassan Shehatta.