-
Iran yazindua mafanikio 9 katika sekta ya nyuklia
Apr 09, 2022 08:07Sambamba na Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ameshiriki katika maonyesho ya Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran ambapo amezindua mafanikio mapya katika uga wa miradi ya nyuklia yenye malengo ya amani.