Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Mpango wa Muamala wa Karne

  • Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne utakufa kabla ya Trump kufa

    Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne utakufa kabla ya Trump kufa

    Feb 05, 2020 14:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mpango wa Marekani uliopachikwa jina la Muamala wa Karne utakufa hata kabla ya Trump mwenyewe kufa na kuongeza kuwa, njia ya kukabiliana na mpango huo ni kusimama kidete na kufanya jihadi kishujaa taifa na makundi ya Palestina pamoja na uungaji mkono wa ulimwengu wa Kiislamu kwa taifa hilo.

  • Jumuiya ya Maulama wa Palestina yaharamisha kushirikiana na

    Jumuiya ya Maulama wa Palestina yaharamisha kushirikiana na "Muamala wa Karne"

    Feb 02, 2020 13:18

    Jumuiya ya Wanazuoni wa Kiislamu wa Palestina imetangaza kuwa, ni haramu kushiriki katika utekelezaji wa mpango wa kibaguzi uliopendekezwa na Marekani na Wazayuni kwa ajili ya kadhia ya Palestina.

  • Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina

    Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yasema haitaacha kuwaunga mkono Wapalestina

    Feb 01, 2020 13:10

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amekosoa tangaza la mpango wa Marekani na Israel ambao ni maarufu kama 'muamala wa karne' kwa ajili ya kutatua kadhia ya Palestina na kusema nchi za Kiarabu katu hazitaliacha taifa la Palestina peke yake.

  • Wapalestina kadhaa wajeruhiwa baada ya askari wa Israel kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Wapalestina kadhaa wajeruhiwa baada ya askari wa Israel kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa

    Jan 31, 2020 15:08

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameuhujumu Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo na kuwajeruhi Wapalestina kadhaa waliokuwa wamefika hapo kwa ajili ya Sala ya Ijumaa.

  • Raia wa Yemen wafanya maandamano makubwa kulaani

    Raia wa Yemen wafanya maandamano makubwa kulaani "Muamala wa Karne"

    Jan 31, 2020 11:06

    Wananchi wa Yemen wamefanya maandamano makubwa ya kulaani njama mpya za Marekani dhidi ya taifa madhlumu la Palestina na wamelaani vikali mpango wa Donald Trump wa "Muamala wa Karne."

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS