Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Obama

  • Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?

    Je, Marekani itaiondoa Cuba kwenye Orodha ya Nchi Zinazounga Mkono Ugaidi?

    Jan 17, 2025 13:55

    Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa rais wa nchi anayeondoka mamlakani Joe Biden, ataiondoa Cuba kwenye orodha ya nchi zinazounga mkono ugaidi.

  • Madai ya Marekani ya kuwa na wasiwasi kuhusu mashambulio ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan

    Madai ya Marekani ya kuwa na wasiwasi kuhusu mashambulio ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Afghanistan

    Nov 10, 2021 02:38

    Thomas West, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala Afghanistan amedai kuwa, Washington ina wasiwasi na suala la kuongezeka hujuma na mashambulio ya makundi yenye mfungamano na kundi la Daesh na uwepo wenye kuendelea wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda.

  • Obama: Ghasia zilizotokea katika Kongres ni fedheha kubwa katika historia ya Marekani

    Obama: Ghasia zilizotokea katika Kongres ni fedheha kubwa katika historia ya Marekani

    Jan 07, 2021 06:17

    Rais wa zamani wa Marekani ametoa taarifa yenye lugha kali akisema kuwa historia itakumbuka ghasia zilizotokea jana katika Kongresi ambazo zimechochewa na rais wa sasa wa Marekani kwa uongo wake usio na msingi kuhusu matokeo ya uchaguzi wa rais, kuwa ni fedheha na aibu.

  • Obama: Donald Trump ni Mfashisti

    Obama: Donald Trump ni Mfashisti

    Jan 27, 2020 04:24

    Seneta wa jimbo la Virginia nchini Marekani amesema kuwa, katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2016, Rais Barack Obama wa wakati huo alimtaja Donald Trump kuwa ni Mfashisti.

  • Trump 'alilia' Tuzo ya Nobel, asema Obama hakustahiki kupewa

    Trump 'alilia' Tuzo ya Nobel, asema Obama hakustahiki kupewa

    Sep 24, 2019 07:48

    Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine tena amedai kuwa ana ustahiki wa kupewa Tuzo ya Amani ya Nobel.

  • Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya

    Aug 23, 2019 02:25

    Nafasi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi na wa Kiarabu katika kuanzisha na kueneza harakati za makundi ya kigaidi na kitakfiri likiwemo la Daesh si ya kukanushika hata kidogo.

  • Barack Obama alalamikia ubaguzi wa rangi unaofanywa na rais nchi hiyo, Donald Trump

    Barack Obama alalamikia ubaguzi wa rangi unaofanywa na rais nchi hiyo, Donald Trump

    Nov 22, 2018 02:46

    Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama amelalamikia vikali ubaguzi wa rangi unaofanywa na rais wa hivi sasa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Viongozi 30 wa serikali ya Obama, wakiri kwamba Marekani imeingilia vita haribifu nchini Yemen

    Viongozi 30 wa serikali ya Obama, wakiri kwamba Marekani imeingilia vita haribifu nchini Yemen

    Nov 12, 2018 05:30

    Viongozi 30 wa ngazi za juu wa serikali iliyopita ya Marekani, sambamba na kukubali dhima ya kuhusika nchi yao katika uingiliaji usio sahihi wa vita vya Yemen, wametaka kukomeshwa vita hivyo haraka iwezekanavyo.

  • Joe Biden: Natarajia kwamba Trump hatakariri tena katika historia ya Marekani

    Joe Biden: Natarajia kwamba Trump hatakariri tena katika historia ya Marekani

    Nov 15, 2017 03:52

    Makamu wa rais wa zamani wa Marekani, Joe Biden amesema kuwa anatarajia kuwa Donald Trump ni hali ya kipekee katika historia ya Marekani na kwamba rais mwingine mithili yake hataingia katika Ikulu ya White House.

  • Obama: Diplomasia ni njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea

    Obama: Diplomasia ni njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea

    Oct 06, 2017 08:01

    Rais msataafu wa Marekani, Barack Obama amesema kuwa udiplomasia ndiyo njia bora zaidi ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Peninsula ya Korea na si nguvu ya kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS