Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Hamas yaghadhabishwa na Google, Apple kuiondoa 'Palestina' katika ramani

    Hamas yaghadhabishwa na Google, Apple kuiondoa 'Palestina' katika ramani

    Jul 01, 2021 03:10

    Ofisi ya Habari ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imekosoa vikali hatua ya mashirika ya Kimarekani ya Google na Apple ya kuliondoa neno 'Palestina' katika ramani zao za dunia. Kwa mujibu wa mashirika hayo, hivi sasa hakuna pahala duniani panapotambulika kama Palestina.

  • Viongozi wa Hamas, Jihad Islami wakutana, wasisitiza umoja wa Palestina

    Viongozi wa Hamas, Jihad Islami wakutana, wasisitiza umoja wa Palestina

    Jun 30, 2021 22:53

    Viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) na Harakati ya Jihadi Islami ya Palestina wamekutana na kusisitiza ulazima wa kuimarisha na kudumisha umoja baina ya Wapalestina.

  • Ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel katika kuwakandamiza Wapalestrina

    Ushirikiano wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Israel katika kuwakandamiza Wapalestrina

    Jun 27, 2021 04:44

    Kuuawa shahidi mwanaharakati wa Kipalestina Nizar Banat mwenye umri wa miaka 42 na askari wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kumeongeza mashinikizo dhidi ya mamlaka hiyo na mkuu wake Mahmoud Abbas, ambapo sasa Wapalestina wanataka malaka hiyo ivunjwe na Rais Mahmoud Abbas ajiuzulu.

  • Palestina yataka kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Israel

    Palestina yataka kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Israel

    Jun 26, 2021 22:07

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imelaani uhalifu unaoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya raia wa Palestina na kutoa wito wa kuwekwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya utawala huo.

  • Palestina, OIC zailaani Honduras kwa kuuhamishia ubalozi wake Quds

    Palestina, OIC zailaani Honduras kwa kuuhamishia ubalozi wake Quds

    Jun 26, 2021 08:12

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imekosoa vikali hatua ya serikali ya Honduras ya kuuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu kutoka Tel Aviv.

  • Ismail Hania: Muqawama ni njia fupi zaidi kwa ajili ya kurejesha haki za Wapalestina

    Ismail Hania: Muqawama ni njia fupi zaidi kwa ajili ya kurejesha haki za Wapalestina

    Jun 23, 2021 23:14

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) ambaye amefanya ziara nchini Mauritania amesisitiza juu ya ulazima wa kuendeshwa muqawama ikiwa njia fupi zaidi ya kufanikisha kupatikana haki za Wapalestina zilizoporwa.

  • Palestina yaikosoa UN kwa kutoiweka Israel katika orodha nyeusi ya wakiukaji wa haki za watoto

    Palestina yaikosoa UN kwa kutoiweka Israel katika orodha nyeusi ya wakiukaji wa haki za watoto

    Jun 21, 2021 07:29

    Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Palestina imeukosoa Umoja wa Mataifa kwa kutoiweka Israeli kwenye orodha nyeusi ya kila mwaka ya makundi na nchi zinazohusika na ukiukaji mkubwa wa haki za watoto, ikisema kupuuza jinai za utawala huo kunawapa kinga ya kuhukumiwa Wazayuni wanaoua watoto.

  • Makundi ya muqawama ya Palestina yautahadharisha utawala wa Kizayuni

    Makundi ya muqawama ya Palestina yautahadharisha utawala wa Kizayuni

    Jun 20, 2021 03:45

    Makundi ya muqawama ya Palestina yametangaza kuwa hayautauruhusu utawala ghasibu wa Kizayuni uutwishe muqawama masharti yake au kuufanya Ukanda wa Ghaza uwe katika hali ya kutengwa.

  • Shakhsia 682 wa kisiasa wataka Biden akomeshe dhulma za Israel

    Shakhsia 682 wa kisiasa wataka Biden akomeshe dhulma za Israel

    Jun 19, 2021 21:53

    Mamia ya shakhsia wa kisiasa, wanaakademia, wanaharakati wa amani na washindi wa Tuzo ya Nobel wamemtaka Rais Joe Biden wa Marekani atimize ahadi yake ya kulinda haki za Wapalestina, na kukomesha dhulma za Israel.

  • Wapalestina 160 wanateseka katika jela za Saudi Arabia hivi sasa

    Wapalestina 160 wanateseka katika jela za Saudi Arabia hivi sasa

    Jun 19, 2021 21:53

    Shirika la habari la "Palestine Today" limetangaza kuwa, sasa hivi kuna Wapalestina 160 wanaoteseka katika jela za ukoo wa Aal Saud nchini Saudi Arabia. Wapalestina hao wanashikiliwa kwenye jela hizo za Saudi Arabia kwa tuhuma za kuwa wanachama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS