Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Zarif: Utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu duniani

    Zarif: Utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu duniani

    May 22, 2020 03:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ndio mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani.

  • Palestina yakataa misaada ya Imarati iliyotumwa kupitia Tel Aviv

    Palestina yakataa misaada ya Imarati iliyotumwa kupitia Tel Aviv

    May 22, 2020 03:32

    Mamlaka ya Ndani ya Palestina imekataa kupokea misaaada iliyotumwa nchini humo na Umoja wa Falme za Kiarabu kupitia uwanja wa ndege wa Tel Aviv.

  • Mbunge wa Tunisia: Jinai za Trump dhidi ya watu wa Palestina hazina mfano wake katika historia

    Mbunge wa Tunisia: Jinai za Trump dhidi ya watu wa Palestina hazina mfano wake katika historia

    May 21, 2020 22:13

    Mbunge wa Tunisia amesema kuwa jinai za Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya raia wa Palestina hazijawahi kushuhudiwa katika historia.

  • Takht-Ravanchi: Hotuba ya Kiongozi Muadhamu itapelekea kuangaziwa kadhia ya Palestina duniani

    Takht-Ravanchi: Hotuba ya Kiongozi Muadhamu itapelekea kuangaziwa kadhia ya Palestina duniani

    May 21, 2020 04:55

    Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa amesema hotuba ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Siku ya Kimataifa ya Quds itaigeuza kadhia ya Palestina kuwa kadhia nambari moja duniani kinyume na jitihada zinazofanywa na Marekani na utawala wa Kizayuni.

  • Kiongozi Muadhamu: Tutaliunga mkono taifa lolote linalopambana na utawala wa Kizayuni

    Kiongozi Muadhamu: Tutaliunga mkono taifa lolote linalopambana na utawala wa Kizayuni

    May 21, 2020 03:22

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran italiunga mkono taifa lolote lile linalosimama kidete dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mjumbe wa UN: Israel inapaswa kuacha vitisho vya 'kupora ardhi za Wapalestina'

    Mjumbe wa UN: Israel inapaswa kuacha vitisho vya 'kupora ardhi za Wapalestina'

    May 21, 2020 03:18

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Asia Magharibi ameutaka utawala wa Kizayuni wa Israel utupilie mbali mpango wake wa kunyakua na kuunganisha baadhi ya maeneo ya Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na ardhi zingine za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

  • Siku ya Kimataifa ya Quds, siku ya ushindi wa heshima dhidi ya udhalili

    Siku ya Kimataifa ya Quds, siku ya ushindi wa heshima dhidi ya udhalili

    May 20, 2020 22:33

    Miaka 41 iliyopita, Imam Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliitangaza Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Quds.

  • Palestina yafuta makubaliano yote iliyofikia na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Palestina yafuta makubaliano yote iliyofikia na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel

    May 19, 2020 22:36

    Rais Mahmoud Abbas wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amefuta makubaliano yote yaliyofikiwa kati ya mamlaka hiyo na Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

  • Naibu wa Sheikh Zakzaky: Kadhia ya Palestina ni ya kidini, kiutu na kiakhlaqi kwa bara Afrika

    Naibu wa Sheikh Zakzaky: Kadhia ya Palestina ni ya kidini, kiutu na kiakhlaqi kwa bara Afrika

    May 18, 2020 22:55

    Naibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema kadhia ya Palestina si tu suala la kidini, bali pia ni suala la kiutu na kiakhlaqi kwa mataifa ya Afrika.

  • Kamati ya Bunge la Iran yaidhinisha muswada dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Kamati ya Bunge la Iran yaidhinisha muswada dhidi ya utawala wa Kizayuni

    May 18, 2020 05:30

    Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiisalmu (Bunge la Iran) imeidhinisha muswada wa namna ambavyo Iran itakabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika upeo wa kitaifa na kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS