-
Ripoti: Qatar inataka Israel iombe radhi ili kuanza tena juhudi za usuluhishi
Sep 21, 2025 06:51Qatar imesema kuwa Israel inapasa kuomba radhi kutokana na mashambulizi iliyotekeleza dhidi ya Doha. Imesema Israel inapasa kuomba radhi kama sharti ili kuweza kuanza tena mazungumzo ya amani ya kuhitimisha vita na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko bega kwa bega na Qatar na Waislamu wote
Sep 15, 2025 06:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye yuko mjini Doha, Qatar kushiriki katika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Kiislamu na Kiarabu, amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko bega kwa bega na ndugu zake Waislamu wote.
-
Viongozi wa nchi za Kiislamu na Kiarabu wakutana Doha baada ya shambulio la Israel dhidi ya Qatar
Sep 14, 2025 11:08Viongozi wa mataifa ya Kiislamu na Kiarabu wanakutana katika mji mkuu wa Qatar, Doha kujadili jibu rasmi na la pamoja la kutoa kwa shambulizi la kigaidi lililofanywa na Israel dhidi ya Doha wiki iliyopita, ambalo utawala huo wa kizayuni ulisema liliulenga uongozi wa harakati ya Hamas. Shamnbulio hilo limelaaniwa vikali katika eneo na kila pembe ya dunia.
-
Kamanda Mousavi: Wananchi, wanajeshi wa Iran watasimama na Qatar
Sep 12, 2025 03:48Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran amesema kuwa serikali, taifa na vikosi vya kijeshi vya Qatar vinapaswa kujua kwamba, Jamhuri ya Kiislamu na jeshi lake litaendelea kusimama upande wao hadi mwisho.
-
Waziri Mkuu wa Qatar: Benjamin Netanyahu anapasa 'kufikishwa mbele ya sheria'
Sep 11, 2025 11:04Waziri Mkuu wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al-Thani amelaani mashambulizi ya juzi ya Israel dhidi ya Doha na kuyataja kuwa ni "ugaidi wa kiserikali,". Amesema kuwa Waziri Mkuu wa utawala wa Israel Benjamin Netanyahu anapasa "kufikishwa mbele ya sheria."
-
Pezeshkian: Ugaidi wa kuwalenga viongozi wa Hamas Doha umeanika sura halisi ya Israel
Sep 10, 2025 07:14Rais Masoud Pezeshkian wa Iran ameulaani vikali utawala haramu wa Israel kwa kitendo chake 'haramu, cha kinyama na kinacholenga kuvuruga amani ya eneo,' baada ya utawala huo wa Kizayuni kushambulia ardhi ya Qatar na kuwaua shahidi viongozi kadhaa wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.
-
Dunia yalaani mashambulizi ya kigaidi ya Israel nchini Qatar
Sep 10, 2025 02:54Mashambulizi ya anga ya Israel huko Doha, Qatar, yaliyowalenga viongozi Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas, yameendelea kulaaniwa na nchi na viongozi mbali mbali kote duniani.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Sutafahamu zilizotokea baina yetu na Qatar zimeondolewa
Sep 06, 2025 03:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amesema, mazungumzo yake na viongozi wa Qatar yalikuwa yenye faida na mafanikio makubwa na yalifanyika kwa uzito maalumu na akaongezea kwa kusema: "kwa bahati nzuri, hakuna tofauti zozote kati ya nchi hizi mbili, na sutafahamu iliyojitokeza imetatuliwa kikamilifu na ziara hii".
-
Serikali ya DRC: Mwanamfalme wa Qatar atawekeza dola bilioni 21 katika sekta kadhaa
Sep 04, 2025 03:13Serikali ya Jamhuri ya Kidemokorasia ya Kongo, DRC kupitia ofisi ya Waziri Mkuu wake imetangaza kuwa, Mwanamfalme wa Qatar Sheikh Mansour bin Jabir bin Jassim Al Thani anataka kuwekeza nchini humo dola bilioni 21 katika sekta mbalimbali zikiwemo za kilimo na uchimbaji madini.
-
Jumatano, Septemba 3, 2025
Sep 03, 2025 02:36Leo ni Jumatano tarehe 10 Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 3 mwaka 2025.