-
Wamarekani milioni sita wanatumia maji ya kunywa yasiyo salama
Mar 18, 2016 13:10Wamarekani milioni sita wanatumia maji ya kunywa yasiyo salama majumbani mwao na mashuleni ambayo yamechanganyika na madini ya risasi.
Wamarekani milioni sita wanatumia maji ya kunywa yasiyo salama majumbani mwao na mashuleni ambayo yamechanganyika na madini ya risasi.