Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Russia

  • Gachagua amshambulia vikali Raila, asema hula peke yake akawakumbuka wafuasi wakati wa uchaguzi

    Gachagua amshambulia vikali Raila, asema hula peke yake akawakumbuka wafuasi wakati wa uchaguzi

    Aug 12, 2025 07:42

    Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amemshambulia vikali kwa maneno kinara wa chama cha ODM Raila Odinga akimuelezea kuwa ni mwanasiasa anayewania urais bila kuutaka wadhifa huo.

  • Je, India itasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Trump?

    Je, India itasalimu amri mbele ya mashinikizo ya Trump?

    Aug 08, 2025 02:11

    Siku ya Jumatano, Agosti 6, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini amri ya kuweka ushuru wa ziada wa asilimia 25 dhidi ya bidhaa za India ili kukabiliana na hatua ya nchi hiyo ya kuendelea kununua mafuta ya Russia, na hivyo kuongeza ushuru jumla kwa bidhaa za India hadi asilimia 50.

  • Mufti wa Moscow: Kuingia waziri Mzayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni hatua ya kichochezi

    Mufti wa Moscow: Kuingia waziri Mzayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa ni hatua ya kichochezi

    Aug 06, 2025 03:55

    Naibu Mkuu wa Idara ya Masuala ya Dini ya Kiislamu ya Russia kwa ajili ya Masuala ya Kimataifa na Hija na Mufti wa Mkoa wa Moscow amesema: Waislamu wa Russia wanaitambua hatua ya Itamar Ben-Gvir ya kuvamia na kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa kuwa ya kichochezi.

  • Russia: Tutazidisha ushirikiano wetu na BRICS ili kukabiliana na vikwazo vya Marekani

    Russia: Tutazidisha ushirikiano wetu na BRICS ili kukabiliana na vikwazo vya Marekani

    Aug 05, 2025 07:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova ametangaza kuwa, Moscow iko tayari kuongeza ushirikiano na nchi wanachama wa kundi la kiuchumi la BRICS ili kukabiliana na mashinikizo ya vikwazo haramu vya Marekani.

  • Russia yalaani tishio jipya la Trump dhidi ya taasisi za nyuklia za Iran

    Russia yalaani tishio jipya la Trump dhidi ya taasisi za nyuklia za Iran

    Jul 31, 2025 07:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amelaani matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema: "Vitisho vya mara kwa mara dhidi ya Iran vya kufanya mashambulizi mapya ya makombora na kushambulia vituo vya nyuklia vya nchi hiyo vimeibua wasiwasi mkubwa."

  • Russia yatoa sharti la kufanyika mkutano wa ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky

    Russia yatoa sharti la kufanyika mkutano wa ana kwa ana kati ya Putin na Zelensky

    Jul 24, 2025 06:42

    Kiongozi mkuu wa ujumbe wa Russia katika mazungumzo na Ukraine, Vladimir Medinsky amesema, viongozi wa nchi hizo mbili inapasa wakutane baada ya mkataba wa amani kuwa tayari kutiwa saini, si vinginevyo.

  • Zelensky ataka afanye mazungumzo binafsi na Putin

    Zelensky ataka afanye mazungumzo binafsi na Putin

    Jul 20, 2025 14:52

    Rais Vladimir Zelensky wa Ukraine kwa mara nyingine ametoa wito wa kufanyika mazungumzo binafsi kati yake na Rais Vladimir Putin wa Russia, akisema hiyo ndiyo njia pekee ya kupatikana amani ya kudumu.

  •  Sababu za India kupinga sera za kindumakuwili za EU ni zipi?

    Sababu za India kupinga sera za kindumakuwili za EU ni zipi?

    Jul 19, 2025 09:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya India imepinga vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia na kiwanda cha kusafisha mafuta cha India na pia "sera za kindumakuwili" za umoja huo katika uga wa biashara ya nishati.

  • Kremlin: Hatuna habari kuhusu mkutano wa Putin, Trump, Xi

    Kremlin: Hatuna habari kuhusu mkutano wa Putin, Trump, Xi

    Jul 19, 2025 05:43

    Msemaji wa Ikulu ya Russia (Kremlin) amesema hana ufahamu wowote kuhusu taarifa kwamba Rais wa nchi hiyo, Vladimir Putin, mwenzake wa Marekani, Donald Trump na kiongozi wa China Xi Jinping watakutana nchini China karibuni hivi.

  • Russia: Mashambulio ya karibuni ya Israel dhidi ya Syria yanastahili kulaaniwa 'vikali'

    Russia: Mashambulio ya karibuni ya Israel dhidi ya Syria yanastahili kulaaniwa 'vikali'

    Jul 17, 2025 13:27

    Russia imesema, mashambulio ya karibuni yaliyofanywa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Syria yanastahili kulaaniwa "vikali".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS