-
Amnesty International yataka kufanyike uchunguzi wa mauaji ya Waislamu Nigeria
Apr 14, 2016 00:56Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria.
-
Kaburi la Umati la Waislamu lagundiliwa nchini Nigeria
Apr 12, 2016 23:53Karibu miili 350 ya Waislamu imepatikana ikiwa imezikwa kwa siri katika kaburi la umati kaskazini mwa Nigeria.