-
Trump akengeuka sera ya Marekani kwa kufanya mazungumzo na Rais wa Taiwan
Dec 03, 2016 04:19Rais mteule wa Marekani Donald Trump amekengeuka sera ambayo nchi hiyo imekuwa ikifuata kwa miaka 37 sasa kwa kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Taiwan.
Rais mteule wa Marekani Donald Trump amekengeuka sera ambayo nchi hiyo imekuwa ikifuata kwa miaka 37 sasa kwa kuzungumza kwa njia ya simu na Rais wa Taiwan.