-
Chama cha CUF nchini Tanzania chakubali kurudi kwenye mazungumzo lakini…
Feb 12, 2016 23:53Chama cha Wananchi CUF cha nchini Tanzania kimekubali kurudi kwenye mazungumzo ya kuutafutia ufumbuzi wa amani mkwamo wa kisiasa visiwani Zanzibar, kwa sharti kwamba, mchakato wa uchaguzi wa marudio usimamishwe.
-
Ajali ya Tanzania yaua 13, mwandishi wa Radio Tehran apoteza mke na mtoto
Feb 11, 2016 23:52Watu 11 wamefariki dunia leo huku wengine 29 wamejeruhiwa baada ya Basi la Simba Mtoto kugongana uso kwa uso na lori huko Muheza katika mkoa wa Tanga nchini Tanzania.
-
Rais wa Tanzania atimiza siku 100 akiwa madarakani (Sauti)
Feb 11, 2016 14:53Wakati siku mia moja za rais mpya wa Tanzania DK, John Pombe Magufuli madarakani zikitimia,Watanzania wamemtaka rais huyo kuongeza kasi ya kuwabana mafisadi wanaohujumu uchumi wa nchi hiyo bila kuwaonea huruma.