-
161 kugombea viti vya Baraza la Wataalamu Iran
Feb 10, 2016 15:22Idara Kuu ya Usimamizi wa uchaguzi wa Iran imesema wagombea 161 wameidhinishwa na Baraza la Walinzi wa Katiba kuwania viti katika uchaguzi wa Baraza la Wanazuoni Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu.