-
Kiongozi Muadhamu: Mshindi wa uchaguzi ni wananchi wa Iran na mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu
May 20, 2017 08:50Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe maalumu kwa mnasaba wa uchaguzi wa jana Ijumaa (Mei 19, 2017) wa Iran na kusema kuwa, mshindi wa uchaguzi huo ni wananchi wa Iran na mfumo Jamhuri ya Kiislamu ambapo licha ya kuweko njama nyingi za maadui, lakini uchaguzi huo umevutia umati mkubwa wa wananchi wa taifa hili kubwa kwa namna bora kabisa.
-
Waziri wa Usalama wa Taifa nchini Iran: Harakati zote za adui zinafuatiliwa kwa karibu
May 19, 2017 11:53Waziri wa Usalama wa Taifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, askari wa usalama wa nchi hii watatoa jibu kwa njama yoyote ya maadui.
-
Waziri wa Ulinzi Iran: Kushiriki kwa wingi Iran katika uchaguzi
May 16, 2017 09:08Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Ijumaa ndio kinga kubwa zaidi ya kuyazuia madola ya kibeberu yanayotoa vitisho dhidi ya Iran.