-
Familia za wanafunzi waliotekwa nyara Nigeria zaitaka serikali kuwakomboa
Jun 02, 2021 11:32Familia za wanafunzi waliotekwa nyara na magenge ya wahalifu nchini Nigeria na vilevile jumuiya za kimataifa za kutetea haki za binadamu zimeitaka serikali ya Nigeria kuchukua hatua madhubuti za kukomboa karibu wanafunzi 200 wa shule moja ya Kiislamu waliotekwa nyara na magenge ya wahalifu katikati mwa Nigeria.
-
Tahadhari ya Mwanasheria Mkuu wa Marekani Kuhusu ugaidi wa ndani ya nchi hiyo
May 06, 2021 10:14Mwanasheria mkuu wa Marekani Merrick Garland ametahadharisha kuhusu hatari inayoibuka kwa kasi ya ugaidi wa ndani ya nchi na amelitaka bunge la nchi hiyo, Kongresi, kutenga fedha zaidi kwa ajili ya kufanya utafiti kuhusu kadhia hiyo na pia kwa ajili ya kuwasaka na kuwafikisha kizimbani magaidi wa ndani ya nchi.
-
Pentagon: Wanajeshi wa Marekani wanashambuliwa kwa "nishati na mawimbi yanayoongozwa kutoka mbali"
Apr 25, 2021 10:47Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imedai kuwa, wanajeshi wa nchi hiyo wanashambuliwa na nchi za Russia na China kwa kutumia mawimbi na nishati yanayoongozwa kutoka mbali.
-
Msumbiji yatuma timu ya madaktari kutambua wahanga wa shambulio la kigaidi huko Palma
Apr 09, 2021 15:52Msemaji wa jeshi la Msumbiji amesema kuwa nchi hiyo inatuma timu ya madaktari ili kutambua miili ya watu 12 waliouawa katika shambulio la magaidi wenye uhusiano na kundi la Daesh katika machimbo ya gesi asilia kwenye mji wa Palma kaskazini mwa Msumbiji.
-
Ugaidi wa kiuchumi unazuia nchi kadhaa kupata dawa na vifaa vya tiba
Mar 26, 2021 07:36Msemaji wa Tume ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema ugaidi wa kiuchumi unazuia nchi kadhaa duniani kupata dawa na vifaa vya kitiba.
-
Save the Children: Magaidi wanaua watoto kwa kuwachinja Msumbiji
Mar 17, 2021 04:33Shirika la misaada ya kibinadamu la Save the Children limesema wanachama wa magenge ya kigaidi katika mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji wanaua watoto wadogo kikatili kwa kuwakata vichwa.
-
Syria: Muongo mmoja baada ya kuanza vita vya kimataifa vya kigaidi
Mar 15, 2021 11:26Umetimia muongo mmoja tokea vianze vita baina ya serikali ya Syria na makundi ya kigaidi. Swali muhimu ambalo linaibuka hapa ni hili, je ni kwa nini vita hivi vilianza na vimekuwa na matokeo gani baada ya kupita miaka 10.
-
Safari ya Papa Francis nchini Iraq, wito wa kuishi pamoja kwa amani wafuasi wa dini tofauti
Mar 06, 2021 11:00Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
-
Biden atoa ahadi ya kufunga Guantanamo waliyoshindwa kutekeleza na Obama
Feb 13, 2021 08:44Rais Joe Biden wa Marekani ameahidi kuwa serikali yake itahakikisha kuwa gereza la kutisha la Guantanamo linafungwa kufikia mwishoni mwa uongozi wake.
-
Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba
Jan 13, 2021 10:30Ikiwa ni katika kudumisha siasa zake za uhasama dhidi ya serikali za mrengo wa kushoto katika eneo la Amerika ya Latini, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine imelirejesha jina la Cuba katika orodha ya nchi zinazodaiwa kuunga mkono ugaidi.