-
China: Israel ikomeshe ujenzi wa vitongoji vya walowezi katika ardhi za Wapalestina
Jul 26, 2018 09:47Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa ameutaka utawala haramu wa Israel uheshimu mikataba ya kimataifa na kukomesha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi za Wapalestina.