Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wanawake

  • Amir- Abdollahian aunga mkono uwepo wa wanawake wanadiplomasia katika nyadhifa za uongozi

    Amir- Abdollahian aunga mkono uwepo wa wanawake wanadiplomasia katika nyadhifa za uongozi

    Jan 10, 2023 11:52

    Hossein Amir- Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amebainisha wazi mtazamo wa chombo hicho cha diplomasia cha nchi kuhusu wanawake kuhudumu katika wizara hiyo, na kusisitiza mtazamo wa wizara hiyo katika kusaidia na kuwezesha uwepo wa ufanisi zaidi wa wanadiplomasia wa kike katika nyadhifa za uongozi ndani na nje ya nchi. • Feedback

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dhulma za mfumo wa ubepari wa Magharibi kwa wanawake

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu dhulma za mfumo wa ubepari wa Magharibi kwa wanawake

    Jan 05, 2023 05:31

    Ubepari wa Magharibi na demokrasia ya kiliberali, ambayo baada ya kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti mnamo 1991, kulingana na wanafikra wengine wa Magharibi kama vile Francis Fukuyama, iliushinda mfumo wa kikomunisti kama mfumo bora wa kisiasa na kiuchumi, na kutambuliwa kama mwisho wa historia, sasa unakabiliwa na matatizo makubwa na ya kimsingi.

  • Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi

    Hali mbaya ya wanawake nchini Ufaransa; kielelezo cha unyanyasaji wa wanawake katika nchi za Magharibi

    Dec 18, 2022 09:43

    Licha ya kuwa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani siku zote zimekuwa zikidai kutetea haki za binadamu zikiwemo haki za wanawake, lakini tunapotazama takwimu na ripoti za vyombo vya habari katika uwanja huu tunakutana na taswira ya kutisha ya hali mbaya ya wanawake katika jamii za nchi za Magharibi.

  • Wizara ya Mambo ya Ndani Ufaransa yakiri: Wanawake nchini humo wana hali ngumu

    Wizara ya Mambo ya Ndani Ufaransa yakiri: Wanawake nchini humo wana hali ngumu

    Dec 18, 2022 04:12

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ufaransa imetangaza kuwa haki za wanawake na nafasi zao vinakabiliwa na hali ngumu katika nchi hiyo.

  • Athari mbaya za vita vya Yemen kwa wanawake na watoto

    Athari mbaya za vita vya Yemen kwa wanawake na watoto

    Dec 08, 2022 02:20

    Waziri wa Afya wa serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, wanawake na watoto wa nchi hiyo ndio wanaoathiriwa moja kwa moja na athari mbaya za vita vya Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo.

  • Tafakuri katika matukio ya hivi karibu nchini Iran (5-Nafasi ya Mwanamke katika Uislamu)

    Tafakuri katika matukio ya hivi karibu nchini Iran (5-Nafasi ya Mwanamke katika Uislamu)

    Nov 14, 2022 10:16

    Uislamu kama dini kamilifu zaidi ya mbinguni, unatetea haki za wanawake zaidi ya dini nyingine, unatambua uhuru wake na unampa maisha yake halisi.

  • Umoja wa Mataifa walaani Ufaransa kwa kupiga marufuku hijabu ya wanawake wa Kiislamu

    Umoja wa Mataifa walaani Ufaransa kwa kupiga marufuku hijabu ya wanawake wa Kiislamu

    Aug 06, 2022 03:50

    Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa karibuni na Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa Ufaransa imekiuka Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiraia na Kisiasa kwa kumzuia mwanamke mmoja aliyekuwa amevalia hijabu kushiriki kwenye kozi ya elimu ya watu wazima iliyofanyika katika shule moja ya upili nchini humo.

  • Ayatullah Khatami: Wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta zote wakiwa na Hijabu ya Kiislamu

    Ayatullah Khatami: Wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta zote wakiwa na Hijabu ya Kiislamu

    Jul 29, 2022 10:50

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta za kielimu, kisiasa, kiuchumi na usimamizi huku wakiwa wanazingatia Hijabu, vazi la staha la Kiislamu.

  • Kiongozi Muadhamu: Mwanamke wa Kiirani ametoa pigo kubwa kwa uongo wa Ustaarabu wa Magharibi

    Kiongozi Muadhamu: Mwanamke wa Kiirani ametoa pigo kubwa kwa uongo wa Ustaarabu wa Magharibi

    Jul 27, 2022 12:03

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Mwanamke mwenye hadhi na kipaji cha Iran ametoa pigo kubwa na muhimu zaidi kwa madai na uongo ya ustaarabu wa Magharibi, na suala hilo limewakasirisha mno Wamagharibi.

  • Ershadi: Ugaidi na uvamizi wa kigeni ni vitisho vikubwa kwa usalama wa wanawake

    Ershadi: Ugaidi na uvamizi wa kigeni ni vitisho vikubwa kwa usalama wa wanawake

    Apr 14, 2022 07:01

    Zahra Ershadi, balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa: "Kuzikalia kwa mabavu ardhi za mataifa mengine, uvamizi wa kigeni na ugaidi ndio vitisho vikuu kwa usalama wa wanawake katika Asia Magharibi."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS