-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi
Jan 08, 2025 23:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq. Ametoa mwito huo wakati alipoonana na Waziri Mkuu wa Iraq na ujumbe alioongozana nao waliokwenda kumtembelea ofisini kwake hapa Tehran jana Jumatano.
-
Pezeshkian apendekeza ujenzi wa vitongoji vya pamoja vya kiuchumi kati ya Iran na Iraq
Jan 08, 2025 23:50Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kujenga vitongoji vya pamoja vya kiuchumi na Iraq. Rais Masoud Pezeshkian ameeleza haya katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Iraq aliyewasili jana hapa nchini kwa ziara ya kikazi.
-
Imam Khamenei: Marekani inafanya 'mahesabu mabaya' kuhusu Iran kwa miongo kadhaa
Jan 08, 2025 08:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema kuwa, Marekani mara zote imekuwa ikifanya makosa katika mtazamo wake dhidi ya Iran kwa miongo kadhaa sasa.
-
Pezeshkian: Iran inapigania amani katika eneo hili; Iraq inafurahia utulivu baada ya Daesh kusambaratishwa
Jan 08, 2025 08:50Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inapigania amani, utulivu na usalama katika eneo hili zima la Asia Magharibi, na kwamba nchi jirani ya Iraq hivi sasa inapitia kipindi cha utulivu na ustawi baada ya kulishinda genge la kigaidi na la ukufurishaji la Daesh (ISIS).
-
Iran inajenga vitengo viwili zaidi katika Kiwanda cha Nyuklia cha Bushehr
Jan 08, 2025 08:40Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imo katika harakati za kuanzisha kitengo cha pili na cha tatu cha Kinu cha Nyuklia cha Bushehr, kusini mwa Iran.
-
Baghaei: Madai ya Macron dhidi ya Iran yana mgongano na ni ya upotoshaji mambo
Jan 08, 2025 03:49Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa madai ya hivi karibuni ya Rais wa Ufaransa kuhusu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kuyataja madai hayo kuwa hayana msingi, yanapingana na uhalisia wa mambo na ni ya upotoshaji mambo na ameitaka Ufaransa iangalie upya madai yake yasiyo ya kujenga mkabala wa amani na utulivu katika eneo la Asia Magharibi.
-
Iran yafanya mazoezi makubwa ya kijeshi karibu na kituo cha nyuklia cha Natanz
Jan 07, 2025 23:21Kikosi cha Wanaanga cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kimeanza kufanya mazoezi makubwa ya kijeshi katika mkoa wa kati wa Isfahan.
-
Araghchi: Muqawama unaimarika licha ya kuwepo njama za maadui
Jan 07, 2025 23:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema fikra za muqawama zimekuwa zikiimarika katika miezi ya hivi karibuni licha ya majaribio ya maadui ya kudhoofisha fikra hizo.
-
Kamanda wa Jeshi la Anga: Operesheni ngumu zaidi na za kushangaza mno za anga ulimwenguni zimefanywa na Iran
Jan 07, 2025 11:13Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, operesheni zenye mafanikio za Jeshi la Anga kama vile operesheni ya H3 ni matokeo ya idili na mipango imara ya makamanda mahiri na marubani wazoefu wa Iran. Historia imerekodi marubani hao wa Iran wakiendesha operesheni tata sana zilizoishangaza dunia.
-
Mifumo mipya ya ulinzi wa anga isiyojulikana kujaribiwa katika mazoezi ya Jeshi la Iran
Jan 07, 2025 03:06Kamanda wa Kambi ya Pamoja ya Ulinzi wa Anga ya Iran ametangaza kuwa vitengo vya ulinzi wa anga vya Jeshi la Taifa na Jeshi la Walinzi wa Mapindizi ya Kiislamu (IRGC) vimewekwa karibu na vituo nyeti, vikiwa na mifumo mipya ya ulinzi wa anga ambayo itafanyiwa mazoezi siku chache zijazo, katika luteka ya Jeshi la Iran