-
Salami: Mhimili wa Muqawama upo katika 'kilele cha nguvu zake"
Jan 06, 2025 10:11Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) amesema kuwa Mhimili wa Muqawama katika eneo la Magharibi mwa Asia upo katika kilele cha nguvu zake.
-
Iran: Mhimili wa Muqawama hauwezi kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake
Jan 05, 2025 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameuelezea Mhimili wa Muqawama kuwa ni "Piganio Takatifu" lisiloweza kufutwa kwa silaha na kwa kuuawa shahidi viongozi wake.
-
Iran yalaani kuendelea mashambulizi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen
Jan 05, 2025 07:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi mapya ya anga ya Marekani na Uingereza kwenye miundombinu ya mkoa wa Sa'ada wa kaskazini mwa Yemen.
-
Iran yalaani mripuko mbaya wa bomu uliotokea Baluchistan Pakistan
Jan 05, 2025 07:57Iran imelaani vikali shambulio baya lililolenga msafara wa magari yaliyokuwa yamebeba wanajeshi na wafanyakazi katika jimbo la Baluchistan la kusini magharibi mwa Pakistan.
-
Kamanda: Majeshi ya Iran yako tayari kukabiliana na hujuma yoyote
Jan 05, 2025 00:08Kamanda wa Vikosi vya Nchi Kavu vya Jeshi la Iran amesisitiza kuwa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu litakabiliana na hujuma yoyote dhidi ya ardhi ya nchi.
-
Rais wa Iran kufanya safari nchini Tajikistan
Jan 05, 2025 00:07Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni anatarajiwa kufanya safari ya kikazi nchini Tajikistan.
-
Jeshi la IRGC la Iran laanza mazoezi makubwa kuimarisha utayari wa kivita
Jan 04, 2025 10:05Kikosi cha nchi kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limeanzisha mazoezi makubwa na maalum katika jimbo la Kermanshah magharibi mwa Iran, kama sehemu ya juhudi za kuongeza utayari wao wa kivita na kujiandaa zaidi kukabiliana na vitisho vya usalama dhidi ya nchi.
-
Iran yaongeza uuzaji mafuta ghafi
Jan 04, 2025 09:09Mauzo ya nje ya mafuta ghafi kutoka Iran yalipanda tena katika nusu ya pili ya Desemba, baada ya kuanza polepole katikati ya mwezi huo.
-
Araqchi: Tupo tayari kwa mazungumzo yenye tija kuhusu mpango wetu wa nyuklia
Jan 04, 2025 04:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kufanya mazungumzo yenye tija na bila ya kuchelewa kuhusu mpango wake wa nyuklia.
-
Iran yalaani vikali shambulizi linalohusishwa na Daesh nchini Marekani
Jan 03, 2025 23:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali shambulio la kigaidi lililotokea nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu 15.