-
Rais Pezeshkian: Iran itatoa jibu kali zaidi iwapo Israel itafanya 'kosa'
Oct 03, 2024 09:26Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Iran bila ya shaka itatoa jibu lenye "nguvu na la kukandamiza zaidi" kwa utawala haramu wa Israel ukiwa utafanya hata kosa "dogo" tu la kujaribu kujibu shambulizi kulipiza kisasi lililofanywa Jumanne usiku na Iran kwa kuyatwanga kwa makombora maeneo nyeti ya kijeshi na kiusalama ya utawala wa Kizayuni.
-
Iravani: Shambulio la Iran la makombora ni jibu kwa ugaidi wa Israel
Oct 03, 2024 09:19Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa shambulio la makombora ya balistiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel la juzi Jumanne lilikuwa jibu la lazima kwa vitendo vya kigaidi vya utawala huo ghasibu katika kipindi cha miezi miwili iliyopita.
-
Mwangwi wa sauti ya makombora ya Iran dhidi ya Israel wasikika duniani kote
Oct 03, 2024 05:47Mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala ghasibu na wa kigaidi wa Israel yameacha mwangwi mkubwa katika duru za kisiasa, kijeshi na hata baina ya watu wa mataifa, dini na mbari tofauti kote duniani.
-
Araghchi atoa onyo kali kuhusu jinai za utawala wa Kizayuni Asia Magharibi
Oct 03, 2024 04:42Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Abbas Araghchi, ameeleza kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni ndio chanzo cha mgogoro mkubwa katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Operesheni ya Ahadi ya Kweli II' imetimiza malengo yake kwa zaidi ya asilimia 90
Oct 03, 2024 01:10Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema operesheni ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya utawala wa Israel iliyopewa jina la Ahadi ya Kweli II imefanikiwa malengo yake kwa zaidi ya asilimia 90.
-
Jenerali Bagheri: Operesheni ya IRGC imelipizaa kisasi kwa jinai nyingi za Utawala wa Kizayuni
Oct 03, 2024 01:00Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ameelezea operesheni ya Jumanne usiku ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu dhidi ya utawala wa Israel kama kulipiza kisasi kwa jinai nyingi za utawala huo.
-
'Makombora ya Iran ya kizazi kipya yatashangaza ulimwengu, yako tayari kurushwa'
Oct 03, 2024 00:56Kamanda wa zamani katika Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye sasa ni mbunge amesema makombora ya Iran ya kizazi kipya yako tayari kuvurumishwa ili kutoa jibu thabiti na kali kwa shambulio lolote linaloweza kufanywa na Israel kufuatia operesheni ya kulipiza kisasi ya Operesheni ya Ahadi ya Kweli II dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Kan'ani: Chokochoko za adui dhidi ya Iran 'hazitapita bila jibu'
Oct 03, 2024 00:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran aliyemaliza muda wake ameonya kwamba vitendo vyovyote vya chokochoko dhidi ya mamlaka ya Jamhuri ya Kiislamu na umoja wa ardhi yake havitapita bila kujibiwa.
-
Iran na Qatar zatiliana saini hati 6 za mikataba ya ushirikiano
Oct 03, 2024 00:52Maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamelitiana saini hati 6 za mikataba ya ushirikiano wa pamoja katika nyanja mbalimbali.
-
Kiongozi Muadhamu kuswalisha Swala ya Ijumaa mjini Tehran
Oct 02, 2024 12:03Swala ya Ijumaa mjini Tehran wiki hii itaswalishwa na Kiongozi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.