-
Mkutano wa 38 wa Umoja wa Kiislamu kuanza Alkhamisi hii Tehran
Sep 15, 2024 00:21Kongamano la 38 la Umoja wa Kiislamu litafanyika Tehran kuanzia Alkhamisi ijayo likiwa na kauli mbiu ya "Ushirikiano wa Kiislamu ili kufikia tahamani za pamoja kwa kutilia mkazo suala la Palestina".
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran: Umoja wa Ulaya ujiepushe kuituhumu Iran
Sep 14, 2024 09:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Umoja wa Ulaya unapasa kujiepusha na kutoa tuhuma kwa kutegemea taarifa za uongo.
-
Palestina ni mada kuu ya Kongamano la 38 la Umoja wa Kiislamu mjini Tehran
Sep 14, 2024 08:18Kongamano la 38 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu litaanza katika mji mkuu wa Iran siku ya Alhamisi, wakati wa Wiki ya Kimataifa ya Umoja wa Kiislamu.
-
Vita vya kisaikolojia vya kukaririwa vya Wamagharibi dhidi ya Iran
Sep 14, 2024 08:09Rais Volodymyr Zelensky wa Ukraine, amekiri baada ya wimbi la habari za uwongo dhidi ya Iran kuwa hana ushahidi wowote kuhusu kutumwa Russia makombora ya Iran.
-
Satelaiti ya Iran ya "Chamran-1" yarushwa kwa mafanikio katika anga za mbali
Sep 14, 2024 04:10Satelaiti ya utafiti ya Iran iliyopewa jina la "Chamran-1" leo asubuhi imerushwa katika anga za mbali kwa mafanikio kwa kutumia roketi ya kubeba satalaiti ya Qaim 100.
-
Iran yataka Baraza la Usalama lilaani mashambulizi ya kigaidi nchini
Sep 14, 2024 04:06Iran imelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lilaani shambulio la kigaidi katika mkoa wake wa Sistan na Baluchestan.
-
Rais Masoud Pezeshkian: Kuimarisha umoja na mshikamano lengo kuu la safari yangu nchini Iraq
Sep 14, 2024 03:48Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja na mshikamano ni lengo kuu la safari yake nchini Iraq na kuongeza kuwa nia na azma ya serikali za Tehran na Baghdad ni kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirikiano wa kieneo.
-
Waziri Mkuu wa zamani wa Ufaransa: Hali ya mambo ya Gaza ni kashfa kubwa zaidi ya kihistoria
Sep 14, 2024 01:08Waziri Mkuu wa zamani wa Ufaransa ametaja hali ya mambo huko Gaza kuwa ni "kashfa kubwa zaidi ya kihistoria" na kukosoa msimamo wa Ufaransa kuhusu vita vinavyoendelea katika eneo hilo.
-
Russia yawafukuza nchini wanadiplomasia sita wa Uingereza kwa ujasusi
Sep 14, 2024 01:05Russia imewafukuza nchini humo wanadiplomasia sita wa Uingereza kwa kufanya ujasusi. Russia imechukua hatua hiyo ili kulipiza kisasi kwa vikwazo vipya vya Marekani na Uingereza dhidi yake.
-
Rais wa Iran: Israel haitathubutu kutenda jinai kama Waislamu wataungana
Sep 14, 2024 00:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa iwapo Waislamu watashirikiana na kuwa kitu kimoja utawala wa Israel hautathubutu kufanya mauaji ya umati dhidi yao. Rais Masoud Pezeshkian ameeleza haya alipokutana na kuzungumza jana huko Basra Iraq na wasomi wa kitamaduni, kidini, kielimu na wengineo.