-
Iran yakaribisha kuendelea mazungumzo kati yake na Umoja wa Ulaya
May 02, 2024 04:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekaribisha na kuunga mkono kuendelea kufanyika mazungumzo kati ya Umoja wa Ulaya na Iran ili kusogeza mbele ushirikiano wa pamoja na kusema: Ushirikiano kati ya wakala wa IAEA na Iran upo katika njia nzuri.
-
Iran na Afrika ya Kati kuimarisha ushirikiano wa sekta ya madini
May 01, 2024 23:07Waziri wa Biashara Ndogo na za Kati wa Afrika ya Kati ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kushirikiana kikamilifu na Iran katika uchimbaji madini.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu
May 01, 2024 07:23Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ghaza ndilo suala la kwanza kwa Ulimwengu.
-
Iran na Uganda kuimarisha ushirikiano katika sekta ya kilimo
May 01, 2024 03:48Mwenyekiti wa Kamisheni ya Viwanda na Madini ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inatilia maanani ushirikiano wa kilimo na Uganda katika uga wa kilimo nje ya mipaka ya nchi, mafunzo na ushirikiano wa wataalamu na watafiti.
-
Expo 2024: Mlango wa Iran kuingia masoko ya kimataifa
May 01, 2024 00:37Maonyesho ya 6 ya Iran ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi, yanayojulikana kama Iran Expo 2024, yalianza hapa Tehran Aprili 27 na yanamalizika leo Mei 1.
-
Ujumbe wa Algeria na azma yake ya kustawisha ushirikiano wa kiteknolojia na Iran
Apr 30, 2024 07:44Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara wa Algeria amepongeza maendeleo ya kiteknolojia ya Iran na kusisitiza azma ya nchi hiyo ya kuendeleza ushirikiano wa kiteknolojia na Iran.
-
Ghuba ya Uajemi ni nyumba yetu
Apr 30, 2024 07:30Jumatatu ya jana tarehe 10 Ordibehesht, 1403 Hijria, sawa na Aprili 29, 2024 ilisadifiana na kumbukumbu ya kutimuliwa wakoloni wa Kireno katika maji ya kusini mwa Iran mwaka 1622 Miladia.
-
Iran: Usalama wa Ghuba ya Uajemi utahakikishwa kwa ushiriki tu wa nchi zote za eneo
Apr 30, 2024 04:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema usalama wa Ghuba ya Uajemi utahakikishwa kwa ushiriki tu wa nchi zote za pwani ya ghuba hiyo.
-
Iran na nchi za Afrika zaunda kamati ya ushirikiano katika sekta ya kilimo
Apr 29, 2024 23:19Wizara ya Jihadi ya Kilimo ya Iran imetangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika zimekubaliana kuunda kamati ya ushirikiano wa pamoja katika sekta ya kilimo.
-
IRGC: Usaidizi wa nchi 10 duniani kwa Wazayuni haukufua dafu mbele ya Shambulio la Iran
Apr 29, 2024 23:18Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema nchi 10 ziliusaidia utawala wa Kizayuni katika ulinzi wa anga ili kukabiliana na operesheni ya Ahadi ya Kweli ya kuutia adabu utawala huo, lakini hatimaye Iran ya Kiislamu iliisambaratisha na kuishinda mifumo hiyo ya ulinzi ya nchi hizo zinazotajika.