-
Kiongozi Muadhamu ampongeza Rais mteule wa Iran; awashukuru Wairani kwa kupiga kura kwa wingi
Jul 06, 2024 08:40Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amempongeza Rais mteule wa Iran, Masoud Pezeshkian na kutoa shukrani za dhati pia kwa wagombea wote wa uchaguzi wa 14 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu; na maafisa walioshiriki katika mchakato mzima wa uchaguzi huo.
-
Masoud Pezeshkian ashinda kiti cha urais Iran
Jul 05, 2024 23:38Massoud Pezeshkian amechaguliwa kuwa Rais wa 9 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baada ya kupata kura nyingi zaidi za wananchi katika duru ya pili ya uchaguzi uliofanyika jana Ijumaa.
-
Muda wa kupiga kura kwenye uchaguzi wa rais Iran warefushwa
Jul 05, 2024 11:25Muda wa kupiga kura katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Iran iliyoanza mapema leo kote nchini, umerefushwa kwa saa mbili, hiyo ikiwa na maana kuwa zoezi hili litaendelea hadi saa mbili usiku kwa saa za hapa nchini.
-
Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Iran yaakisiwa kwa wingi duniani
Jul 05, 2024 07:43Vyombo vya habari vya duniani vimeakisi kwa wingi mno duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kisilamu ya Iran kutokana na watu kujitokeza kwa mamilioni katika uchaguzi huo wa leo Ijumaa.
-
Uchaguzi wa rais wa Iran umeanza mapema leo, Ayatullah Khamenei apiga kura
Jul 05, 2024 04:01Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amepongeza "kuhusika athirifu" kwa watu wa Iran katika uchaguzi wa rais ulioanza mapema leo hapa nchini.
-
Mamilioni ya Wairani leo wanachagua Rais wa Awamu ya 14 baada ya Mapinduzi ya Kiislamu
Jul 04, 2024 23:28Mamilioni ya Wairani leo wanashiriki katika uchaguzi wa rais utakaoainisha kiongozi wa Serikali ya Awamu ya 14 baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini hapo mwaka 1979 ambaye atachukua nafasi ya Sayyid Ebrahim Raisi aliyeaga dunia Mei 19 katika ajali ya helikopta.
-
Mokhber: Uhusiano wa kimkakati wa Iran, Russia umebadilisha milingano ya dunia
Jul 04, 2024 23:26Kaimu Rais wa Iran amesema uhusiano wa kistratajia baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Russia umebadilisha mlingano wa nguvu duniani, na kukabiliana na mfumo usio wa kiadilifu na unaoegemea upande mmoja wa Marekani.
-
Duru ya pili cha uchaguzi wa Rais Iran kufanyika kesho Ijumaa
Jul 04, 2024 09:12Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais nchini Iran inatarajiwa kufanyika kesho Ijumaa ambapo wagombea wawili Saeed Jalili na Masoud Pezeshkian watachuana kuwania kumrithi Ebrahim Raisi aliyeaga dunia Mei 19 katika ajali ya helikopta.
-
Kaimu Rais wa Iran: Mataifa ya dunia yachukue hatua za haraka kuhitimisha jinai za kivita za Israel
Jul 04, 2024 08:42Kaimu Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataka mataifa ya dunia kuchukua hatua za haraka kuhitimisha jinai za kivita za utawala haramu wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina hususan katika Ukanda wa Gaza.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu juu ya umuhimu wa kushiriki wananchi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais
Jul 04, 2024 08:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza umuhimu wa kushiriki kwa wingi wananchi katika duru ya pili ya uchaguzi wa Rais wa Iran na kusisitiza kuwa, kadiri ushiriki wa wananchi unavyokuwa mkubwa ndivyo serikali pia itakavyoweza kutimiza malengo yake ndani ya nchi na kufuatilia malengo mbalimbali katika kalibu ya mkakati mkuu wa nchi.