-
Kiongozi Muadhamu: Iran itaufanya utawala wa Israel ujutie uhalifu nchini Syria
Apr 02, 2024 10:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma salamu za rambirambi kufuatia kuuawa shahidi Majenerali walioongoka wa Kiislamu katika shambulio la utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria na kusisitiza kwamba: "Taifa la Iran litawafanya Wazayuni wajutie jinai hiyo na jinai zingine kama hiyo."
-
Matokeo ya kieneo na kimataifa ya shambulio la kigaidi la utawala wa Kizayuni kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus.
Apr 02, 2024 08:14Shambulio la kigaidi la ndege za kivita za utawala wa Kizayuni katika ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus bila shaka litakuwa na matokeo ya kieneo na kimataifa kwa baraza la mawaziri la kuchochea vita la Benjamin Netanyahu.
-
Rais Raisi: Wazayuni kamwe hawatofikia malengo yao haramu
Apr 02, 2024 06:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia jinai na ugaidi uliofanywa jana Jumatatu na utawala wa Kizayuni wa kushambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na kusema kuwa, Wazayuni wanapaswa kutambua kwamba ugaidi wao wa kinyama kama huo hauwezi kuwafanikishia malengo yao maovu.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni ni tishio kwa usalama na amani ya dunia nzima
Apr 02, 2024 06:36Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa na taasisi nyinginezo za kimataifa huko Geneva Uswisi amelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na kusema kuwa Israel ni utawala unaohatarisha usalama wa dunia nzima na unapuuza kikamilifu hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Balozi wa Iran Syria: Tutajibu mapigo kwa Israel sawa na ilivyoshambulia ubalozi wetu mdogo
Apr 02, 2024 03:23Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itajibu mapigo sawa na utawala wa Kizayuni wa Israel ulivyoshambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus, Syria.
-
Shambulio la kigaidi la Israel katika ubalozi mdogo wa Iran Damascus lalaaniwa kimataifa
Apr 02, 2024 03:00Russia, Pakistan, Oman, Imarati na Qatar zimeungana na mataifa mengine kuulaani utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kufuatia shambulio la kigaidi ulilofanya utawala huo katika ubalozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Damascus, Syria.
-
Iran: Uchunguzi wa kimataifa ufanyike kuhusu jinai ilizofanya Israel katika Hospitali ya Al-Shifa
Apr 01, 2024 23:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitizia ulazima wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana na uharibifu, utesaji na mauaji yaliyofanywa na jeshi la Kizayuni katika Hospitali ya Al-Shifa huko Ukanda wa Ghaza.
-
Raisi: Leo hii utawala wa Kizayuni unatumia vibaya mizozo baina ya Waislamu
Apr 01, 2024 03:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lau kama nchi za Waislamu zingeacha kuitegemea Marekani na madola ya kibeberu na badala yake kuishi kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu, basi leo hii wananchi wa Ghaza na Wapaletina wasingtelikuwa wananyanyaswa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah
Apr 01, 2024 03:22Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za maana kimataifa ili kuzuia mashambulizi ya kivamizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Rais Raisi ahimiza kutekelezwa kivitendo mafundisho ya Qur'ani Tukufu
Apr 01, 2024 01:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuzingatia mafundisho wa Qur'ani Tukufu katika nyuga zote ni jambo la dharura kwa ajili ya mafanikio ya wanadamu ya duniani na Akhera.