-
Raisi: Leo hii utawala wa Kizayuni unatumia vibaya mizozo baina ya Waislamu
Apr 01, 2024 03:23Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lau kama nchi za Waislamu zingeacha kuitegemea Marekani na madola ya kibeberu na badala yake kuishi kwa mujibu wa mafundisho ya Qur'ani Tukufu, basi leo hii wananchi wa Ghaza na Wapaletina wasingtelikuwa wananyanyaswa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah
Apr 01, 2024 03:22Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za maana kimataifa ili kuzuia mashambulizi ya kivamizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Rais Raisi ahimiza kutekelezwa kivitendo mafundisho ya Qur'ani Tukufu
Apr 01, 2024 01:07Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuzingatia mafundisho wa Qur'ani Tukufu katika nyuga zote ni jambo la dharura kwa ajili ya mafanikio ya wanadamu ya duniani na Akhera.
-
Kan'ani: Wazayuni wanafanya jinai Gaza mbele ya macho ya walimwengu
Mar 31, 2024 23:52Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema jinai za kutisha za kivita zinazofanywa na Wazayuni eneo la Ukanda wa Gaza huko Palestina zinaendelea mbele ya macho ya walimwengu.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA: Iran haina silaha za nyuklia
Mar 31, 2024 07:53Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) ametenganisha baina ya kategoria ya kurutubisha madini ya urani na mchakato wa uundaji silaha za nyuklia na kutangaza kuwa Iran haitengenezi silaha za nyuklia licha ya kuwa na akiba ya urani iliyorutubishwa.
-
Maadhimisho ya YaumuLlah, Siku ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mar 31, 2024 06:28YaumuLlah ya tarehe 12 Farvardin mwaka 1358 Hijria Shamsia (iliyosadifiana na Aprili Mosi, 1979), yenye maana ya Siku ya Mwenyezi Mungu, si siku rasmi tu katika kalenda ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, bali ni siku kubwa pia kwa wanyonge duniani na kwa harakati za ukombozi pamoja na mataifa yanayopambana na dhulma, uistikbari na ukoloni.
-
Jihad Islami: Wapalestina hawangeweza kusimama dhidi ya Israel bila ya kuungwa mkono na Iran
Mar 31, 2024 03:47Kiongozi mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina ametangaza bayana kuwa watu wa Palestina hawangeweza kusimama dhidi ya utawala haramu wa Israel kama kusingekuwa na uungaji mkono kamili wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Jeshi la Iran laapa kulinda usalama na uhuru wa nchi
Mar 31, 2024 03:03Vikosi vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimetangaza azma ya kuendeleza juhudi za kiwango cha juu ili kufikia malengo ya Mapinduzi ya Kiislamu na kulinda usalama na uhuru wa taifa.
-
Viongozi wa harakati za Palaestina za Hamas na Jihad Islami wakutana Tehran
Mar 30, 2024 07:43Ismail Haniyah, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amekutana mjini Tehran na Katibu Mkuu wa Harakati ya Palestina ya Jihad Islami Ziyad al-Nakhaleh.
-
Sisitizo la Pakistna la kuhitajia mno gesi ya Iran
Mar 29, 2024 23:01Musadik Masood Malik, Waziri wa Mafuta wa Pakistan amesema kuwa nchi yake inahitajia mno gesi ya Iran na kwamba msimamo wa Islamabad uko wazi kuwa, kukamilishwa mradi wa kupelekwa gesi ya Iran nchini Pakistan ni jambo la dharura.