-
Kapteni wa timu ya Iran: Vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha vita vya kisaikolojia
Nov 19, 2022 03:42Nahodha wa timu ya taifa ya kandanda ya Iran katika Kombe la Dunia la 2022 nchini Qatar amesema, vyombo vya habari vya Uingereza vimeanzisha mchezo wa vita vya kisaikolojia sambamba na kukaribia mechi kati ya timu ya nchi hiyo na Iran.
-
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Iran: Hatua za kinyama za kuwaua walinda amani hazitaachwa bila kujibiwa
Nov 19, 2022 00:30Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mauaji ya kinyama ya walinzi wawili wa amani katika mji wa Mashhad makao makuu ya mkoa wa Khorasani-Razavi, kaskazini mashariki ya nchi, kwamba hatua kama hizo zisizo za kiutu hazitaachwa bila kujibiwa.
-
Hujuma tatu za kigaidi katika kipindi cha wiki tatu Iran; adui anatumia ugaidi baada ya kupoteza matumiani katika vita vya kisaikolojia
Nov 18, 2022 22:58Katika wiki tatu zilizopita, mashambulizi matatu ya kigaidi yametekelezwa Shiraz, Isfahan na Izeh, miji mitatu ya Iran, ambapo raia 24, ikiwa ni pamoja na wanawake kadhaa na watoto, wameuawa shahidi na makumi ya watu wengine kujeruhiwa.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Wazusha machafuko wamelenga uwezo wa mfumo wa Kiislamu
Nov 18, 2022 10:35Khatibu wa Swala ya Ijumaa leo hapa Tehran amevitaja vikosi vya usalama, jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) na kikosi cha jeshi la Basij kuwa nembo ya uwezo na nguvu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kusema: kudhuru uwezo wa mfumo wa Kiislamu ni moja ya malengo ya waibua ghasia.
-
Wakazi wa mji wa Izeh, kusini magharibi mwa Iran washiriki maziko ya wahanga wa ugaidi
Nov 18, 2022 07:31Wananchi wa mji wa Izeh ulioko kusini magharibi mwa Iran, leo Ijumaa wameshiriki katika maziko ya wahanga wa shambulizi la kigaidi lililotokea jioni ya juzi Jumatano.
-
Kan'ani: Kuvifungia vyombo vya habari vya Iran ni uvunjaji wa wazi wa haki za binadamu
Nov 18, 2022 07:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran ameonesha hisia zake kuhusu kitendo cha nchi za Magharibi cha kuliwekea vikwazo Shirika la Sauti na Televisheni la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, IRIB.
-
Umwagaji damu huko Esfahan, Khuzestan unatokana na kukata tamaa adui na ugaidi wa vyombo vya habari
Nov 18, 2022 04:38Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani msururu wa mashambulizi ya kigaidi hivi karibuni katika mikoa ya Khuzesatan na Esfahan, akisema ugaidi huo unatokana na kuchanganyikiwa na kukata tamaa maadui na vile vile ugaidi wa vyombo vya habari unaoendeshwa dhidi ya taifa la Iran.
-
Abdollahian azihutubu Israel, Magharibi: Iran si Libya au Sudan
Nov 17, 2022 23:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui wameelekeza mashambulizi yao dhidi ya ardhi na utambulisho wa Iran kwa kuunga mkono harakati za ugaidi ndani ya nchi; lakini njama hizo zimegonga mwamba kutokana na kusimama kidete Wairani.
-
SEPAH: Ndoto ya adui ya kuigawa vipande vipande Iran kamwe haitoaguka
Nov 17, 2022 22:54Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesisitiza kuwa, Marekani ina hamu ya kuwaona vijana wa Iran wanauawa mitaani na kuona nyuso za watu zinasinyaa, wananchi wanakasirika na Iran inagawanyika vipande vipande, lakini ndoto hiyo ya kishetani ya adui kamwe haitoaguka kwani Iran ni taifa imara na la muqawama.
-
Kiongozi Muadhamu: Shahidi ni kielelezo cha "imani ya kweli," "amali njema," na "Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu
Nov 17, 2022 07:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitiza kuwa, shahidi na kufa shahidi kunaunda jumla ya thamani za kitaifa, kidini, kiutu na kimaadili na kuongeza kuwa: Shahidi ni kielelezo cha "imani ya kweli," "amali njema," na "Jihad katika njia ya Mwenyezi Mungu."