-
Raisi: Maadui wanataka kuwakatisha tamaa wananchi wa Iran
Nov 17, 2022 05:58Rais wa Iran amesema maadui wanafanya juu chini na kula kila aina ya njama kwa lengo la kuwakatisha tamaa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran na Afrika Kusini zaazimia kuimarisha uhusiano wa pande mbili
Nov 17, 2022 04:14Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Afrika Kusini wamesisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili wa nchi hizi mbili katika nyuga tofauti.
-
Iran yaitaka Marekani iache unafiki katika mazungumzo ya JCPOA
Nov 17, 2022 03:51Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani ipo mbioni kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, na kwa msingi huo amewaasa viongozi wa nchi hiyo na timu ya wapatanishi wa Washington katika mazungumzo hayo kuweka pembeni unafiki.
-
Kadhaa watiwa mbaroni kwa kuhusika na shambulio la kigaidi lililoua watu 5 kusini mwa Iran
Nov 16, 2022 23:23Vikosi vya usalama vya Iran vimewatia mbaroni watu kadhaa wanaohusishwa na shambulio la kigaidi lililosababisha vifo vya watu sita usiku wa kuamkia leo katika mkoa wa Khuzestan, kusini magharibi mwa nchi.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran: Adui anataka kuvuruga mahusiano ya wananchi
Nov 16, 2022 22:54Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran ameeleza kuwa adui amekusudia kuvuruga maelewano na maingiliano kati ya matabaka mbalimbali ya wananchi na kwamba, wale wanaotoa madai kuhusu haki za binadamu wao mwenyewe ni wakiukaji wa haki za binadamu.
-
Abdollahian: Iran katu haitawaruhusu magaidi kuchezea shere usalama wake
Nov 16, 2022 04:33Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Iran katu hatawaruhusu usalama na maslahi ya nchi yao kuchezewa shere na madola ya Magharibi na magaidi wanaopatiwa misaada na madola hayo.
-
Iran: Ni kichekesho kwa nchi kama Australia kuzungumzia haki za binadamu
Nov 16, 2022 04:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu matamshi ya Waziri Mkuu wa Australia ya kuingilia masuala ya ndani ya Iran na kueleza kuwa, matamshi hayo ya Antony Albanese yametegemea taarifa za uongo.
-
Mkuu wa IRIB: Licha ya kuwekewa vikwazo, sauti ya Jamhuri ya Kiislamu itawafikia walimwengu
Nov 16, 2022 09:08Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) amesema: Kanali ya Press TV inaendesha shughuli zake katika uga wa kimataifa licha ya kukabiliana na washindani wenye nguvu; na licha ya kuwekewa vikwazo, sauti ya Jamhuri ya Kiislamu itawafikia walimwengu.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya na Uingereza dhidi ya Iran; mkinzano wa vitendo na kaulimbiu
Nov 15, 2022 06:13Jumatatu ya jana tarehe 14 Novemba, Umoja wa Ulaya na Uingereza zilitangaza kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hatua iliyopangwa na kuratibiwa baina ya pande mbili hizo.
-
Abdollahian: Iraq ina wajibu wa kuzuia vitisho dhidi ya Iran kutokea Kurdistan
Nov 15, 2022 04:08Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa mwito kwa jirani yake Iraq kuchukua hatua za kuzuia vitisho vinavyopangwa na kutekelezwa dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kutokea eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq.