-
Tehran yalaani vikwazo vipya vya EU dhidi ya Iran
Nov 15, 2022 03:52Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikwazo vipya vilivyotangazwa na Umoja wa Ulaya dhidi ya shakhsia 29 na taasisi tatu za Kiirani, ikiwemo kanali ya televisheni ya Press TV.
-
Timu ya kandanda ya Iran yawasili Qatar kushiriki Kombe la Dunia
Nov 15, 2022 00:19Timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewasili Doha, mji mkuu wa Qatar kwenda kuweka kambi ya kujianjdaa kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazoanza kutifua mavumbi wiki ijayo.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran alaani shambulio la kigaidi la Istanbul Uturuki
Nov 14, 2022 23:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea juzi jioni mjini Istanbul Uturuki na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
IRGC yashambulia tena ngome za magaidi Kurdistan ya Iraq
Nov 14, 2022 07:44Kwa mara nyingine, Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limeshambulia na kuharibu ngome za magaidi katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa Iraq.
-
Mkutano wa Rais wa Ufaransa na wanaoipinga Iran ni hatua ya kuchochea machafuko
Nov 14, 2022 04:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani kikao cha Rais wa Ufaransa na wapinzani wa Iran na kukitaja kitendo hicho kuwa ni ukiukaji mkubwa wa majukumu ya kimataifa ya Ufaransa katika kupambana na ugaidi na ukatili.
-
Mousavi: Droni za maadui zipo ndani ya shabaha ya mfumo wa Bavar 373
Nov 14, 2022 03:16Kamanda wa Majeshi ya Iran amesema ndege zisizo na rubani za maadui zipo ndani ya shabaha ya mfumo wa makombora ya kujihami ya masafa marefu wa Bavar 373.
-
Iran na Venezuela zatilia mkazo udharura wa kuzidisha usirikiano wa sayansi na teknolojia
Nov 14, 2022 02:59Kaimu wa Waziri wa Sayansi, Utafiti na Teknolojia wa Iran katika masuala ya kimataifa amefanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa Venezuela anayehusika na masuala ya Sayansi, Teknolojia, Elimu na Matibabu na pande mbili zimetilia mkazo wajibu wa kushirikiana zaidi katika masuala ya sayansi, utafiti na teknolojia.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi la Istanbul Uturuki
Nov 13, 2022 23:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran mapema leo alfajiri amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana jioni mjini Istanbul Uturuki na kuua na kujeruhi makumi ya watu.
-
Kutumiwa siasa na Magharibi katika suala la haki za binadamu
Nov 13, 2022 22:52Mkuu wa Masuala ya Kimataifa ambaye pia na Katibu wa Baraza la Haki za Binadamu la Idara ya Mahakama ya Iran amesema, inasikitisha kwamba leo hii haki za binadamu zinatumiwa zaidi kisiasa kuliko ilivyowahi kuwa wakati wowote ule.
-
Kan'ani: Msimamo wa Ujerumani mkabala wa Iran ni wa uingiliaji
Nov 13, 2022 04:31Nasser Kan'ani Chafi Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameutaja msimamo wa karibuni wa Kansela wa Ujerumani mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa wa uingiliaji, wa kichochezi na usio wa kidiplomasia.