-
Salami: Suala la kisasi cha mashahidi wa 'Ijumaa Nyeusi' lipo kwenye ajenda
Oct 02, 2022 04:12Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesisitiza kuwa, vikosi vya jeshi hilo vitalipiza kisasi cha kuuawa shahidi makumi ya watu wakiwemo maafisa usalama katika Ijumaa Nyeusi huko mjini Zahedan, katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mwa Iran.
-
Mwakilishi wa Iran mjini Geneva: Mauaji ya kizazi katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu imekuwa sera ya kudumu ya utawala wa Israel
Oct 01, 2022 22:48Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amesisitiza kuwa, mauaji ya kizazi katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu imekuwa sera ya kudumu na ya makusudi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mashambulizi ya IRGC dhidi ya ngome za magaidi huko Kurdistan Iraq
Oct 01, 2022 22:43Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetekeleza duru mpya ya mashambulizi dhidi ya ngome na maficho ya magaidi kufuatia kuongezeka hujuma na harakati dhidi ya Iran za magaidi waliopo katika eneo la Kurdistan huko Iraq.
-
Jeshi la IRGC kutoa jibu kali kwa mamluki waliofanya mauaji ya kigaidi Zahedan
Oct 01, 2022 08:50Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa taarifa ya kulaani shambulio la kigaidi lililopelekea makumi ya watu kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mji wa Zahedan, mkoani Sistan na Baluchestan kusini mwa Iran.
-
Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga
Oct 01, 2022 08:35Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na China katika nyuga tofauti.
-
Mshikamano wa kitaifa, hitajio la kimkakati la leo la Iran
Oct 01, 2022 08:06Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kile jamii inachohitajia sana hivi sasa ni umoja na mshikamano wa kitaifa kwa sababu maadui wanaulenga mshikamo wake wa kitaifa."
-
Kamanda wa IRGC eneo la Sistan na Baluchestan auawa na magaidi
Oct 01, 2022 01:53Kamanda wa kitengo cha usalama cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) katika mkoa wa kusini mashariki wa Sistan na Baluchestan ameuawa shahidi katika makabiliano na wapinga mapinduzi ambao walifyatua risasi karibu na msikiti katika mji mkuu wa mkoa huo, Zahedan.
-
Uingereza na Marekani zinachochea ghasia moja kwa moja nchini Iran
Oct 01, 2022 01:24Wizara ya Usalama ya Iran imesema Marekani na Uingereza zilichochea ghasia zilizoshuhudiwa hivi karibuni kote Iran.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wazungumza kuhusu vikwazo vya Iran
Oct 01, 2022 01:15Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamefanya mazungumzo na kubadilishana mawazo kuhusu kuondolewa Iran vikwazo vya kidhulma ilivyowekewa na mabeberu.
-
Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran apongeza kipigo cha Sepah dhidi ya ngome za magaidi Iraq
Sep 30, 2022 08:23Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran amepongeza hatua ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) ya kushambulia ngome za magaidi wanaotaka kujitenga huko kaskazini mwa Iraq na kusema: Usalama wa Iran hauwezi kufumbumbiwa macho hata kidogo.