-
Marandi: Moja ya malengo ya mazungumzo ya Vienna ni kuifanya Marekani ielewe madhara ya kujitoa JCPOA
Aug 16, 2022 22:25Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, moja ya malengo ya mazungumzo hayo ni kuifanya Marekani itambue madhara makubwa ya kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA ili jambo hilo lisirudiwe tena.
-
Iran: Nchi zote zina haki ya kumiliki teknolojia ya nyuklia kwa malengo ya amani
Aug 16, 2022 09:57Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema nchi zote zina haki ya kumiliki teknolojia ya nyuklia kwa malengo ya amani na amesisitiza kuwa,Iran ina azma ya kuendelea kumiliki teknolojia hiyo pamoja na kuwepo mashinikizo na uhasama wa baadhi ya madola makubwa.
-
Iran kuimarisha zaidi uhusiano na Mauritius
Aug 16, 2022 09:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hussein Amir-Abdollahian amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inakaribisha ustawishaji uhusiano na Mauritius.
-
Jeshi la Majini la Iran kufanya operesheni maalumu mwaka huu
Aug 16, 2022 03:20Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran amesema vikosi vya baharini vya nchi hii vimejiandaa kikamilifu kufanya operesheni katika bahari yoyote ile duniani, na kwamba vinajiandaa kufanya operesheni maalumu kabla ya kumalizika mwaka huu wa Kiirani unaoisha Julai 22 mwaka 2023.
-
Amir-Abdollahian: Leo tunakabidihi mapendekezo yetu ya mwisho katika JCPOA
Aug 15, 2022 07:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, siku zijazo ni siku muhimu kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba Tehran inasubiri uamuzi kutoka upande wa Marekani kuhusu maudhui ya tatu.
-
Iran: Muqawama wa Kiislamu hauishii tu katika ukanda wa Asia Magharibi
Aug 15, 2022 02:36Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama na mapambano ya Kiislamu si kitu cha kuishia kwenye eneo moja tu.
-
Ebrahim Raisi: Muqawama ndiyo njia pekee ya kutatua masuala ya Waislamu
Aug 14, 2022 23:52Rais wa Jamhuri ya Kiisllamu ya Iran amesema kuwa, muqawama na mapambano ndiyo njia pekee inayoweza kutatua masuala ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Ghalibaf: Muqawama wa Palestina umetoa bishara ya kuangamia utawala wa Kizayuni
Aug 14, 2022 07:00Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, muqawama na mapambano ya harakati ya Jihad al Islami ya Palestina mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel yametoa bishara njema ya kuangamia utawala huo pandikizi.
-
Kani: Israel inakoseshwa usingizi na kizazi kipya cha Wapalestina
Aug 14, 2022 03:00Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema kuwaua watoto wa Kipalestina kumegeuka na kuwa jambo la kawaida kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, na umwagaji damu huo unadhihirisha wazi kuwa Wazayuni wanakiogopa kizazi kipya cha Wapalestina.
-
Abdollahian: Lugha ya vitisho dhidi ya Iran haitaambulia chochote
Aug 13, 2022 22:31Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani inapaswa kufahamu kuwa, kutumia lugha ya vitisho dhidi ya taifa la Iran hakutakuwa na manufaa yoyote kwa Washington.