-
Raisi: Iran haitafungamanisha ustawi wake na mazungumzo ya JCPOA
Aug 13, 2022 06:55Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislami katu haitafungamanisha ustawi wake na mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Marandi: Matukio kuhusu Bolton na Salman Rushdie yanatia shaka
Aug 13, 2022 06:41Mshauri wa timu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo huko Vienna ameshangazwa na sadfa ya matukio mawili ya hivi karibuni huko Marekani, na kuashiria kuwa yumkini matukio hayo yanafungamana na mazungumzo ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Iran: Marekani haiwezi kuficha jinai zake kwa kuibua madai bandia
Aug 12, 2022 21:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kitendo cha Marekani cha kuibua tuhuma na madai yasiyo na msingi wala mashiko yoyote hakiwezi kuficha wala kuhalalisha jinai za serikali ya Washington.
-
Seddiqi: Zichukuliwe hatua zipasazo katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu
Aug 12, 2022 08:07Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesisitiza kuchukuliwa hatua zipasazo katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran.
-
Mkuu wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran alaani kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu Ujerumani
Aug 12, 2022 03:39Vyuo vya Kiislamu nchini Iran vimelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu huko Hamburg, Ujerumani.
-
Jibu la Kiongozi Muadhamu kwa Barua ya Katibu Mkuu wa Jihad Islami ya Palestina
Aug 11, 2022 22:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amejibu barua ya Katibu Mkuu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina na kusema, "mapambano (muqawama) ya kishujaa ya Jihad Islami yatapelekea kupanda hadhi ya harakati hii katika mapambano sambamba na kusambaratisha hadaa za utawala wa Kizayuni na kuufedhehesha utawala huo."
-
Iran yaitaka Marekani kukubali matakwa halali ya Jamhuri ya Kiislamu
Aug 11, 2022 06:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian ameitaka Marekani kuandaa mazingira ya kuafikiwa rasimu ya mwisho ya makubaliano ya mazungumzo ya Vienna kwa kukubali "matakwa halali" ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Jeshi la Majini la Iran lazima shambulio la maharamia Bahari Nyekundu
Aug 11, 2022 03:24Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza kuwa makomandoo wa jeshi hilo wamezima hujuma ya maharamia dhidi ya meli ya kibiashara ya Iran katika Bahari Nyekundu.
-
Iran yajitenga na madai ya kijuba ya kutaka kumuua Bolton
Aug 11, 2022 02:54Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepinga madai ya kiwendawazimu na yasiyo na msingi yaliyotolewa na serikali ya Washington ikidai kuwa raia mmoja wa nchi hii alikula njama ya kumuua John Bolton, mshauri wa zamani wa Usalama wa Kitaifa wa Ikulu ya White House ya Marekani.
-
Satalaiti ya Iran ya Khayyam yaendelea kutuma data
Aug 10, 2022 22:54Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia wa Iran Issa Zarepour ametangaza kuwa satalaiti ya Kiirani ya Khayyam ambayo Jumanne ilipaa kuelekea anga za mbali jana ilituma data mara nne kama ilivyotarajiwa.