-
Raisi: Kuzinduliwa satalaiti ya Khayyam ni fahari kwa Iran
Aug 10, 2022 06:56Rais wa Iran amesema kurushwa katika anga za mbali kwa mafanikio satalaiti ya Iran ya Khayyam ni chemichemi ya fahari na nguvu za Jamhuri ya Kiislamu.
-
Wairani waandamana kulaani ukatili wa Israel dhidi ya wakazi wa Gaza
Aug 10, 2022 06:54Wananchi wa Iran jana Jumanne walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua shahidi wanawake na watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Rais Raisi: Matembezi ya Arubaini ni kudhihiri kwa kambi ya kimataifa ya Muqawama
Aug 10, 2022 03:33Rais Ebrahim Raisi amesema, Matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) ni dhihirisho la utamaduni wa Ashura na kudhihiri na kujitokeza kwa kambi ya kimataifa ya Muqawama.
-
Satalaiti ya Khayyam; hatua muhimu katika harakati ya Iran ya kuzitumia anga za mbali
Aug 09, 2022 21:00Waziri wa Habari na Mawasiliano na Teknolojia wa Iran Issa Zarepour ametangaza kuwa satalaiti ya Kiirani ya Khayyam jana Jumanne ilipaa kuelekea anga za mbali umbali wa kilomita 500 kutoka ardhini.
-
Abdollahian awapongeza wanamuqwama kwa kukabiliana na wanajeshi wa Kizayuni
Aug 09, 2022 20:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwa mara nyingine tena wanajihadi za harakati za muqawama wa Palestina wameweza kusimama kidete mkabala wa nguvu kubwa za kijeshi za utawala wa Kizayuni, na hatimaye wakawalazimisha maadui kusalimu amri na kuafiki kusitisha vita.
-
Sataliti ya Iran yarushwa anga za mbali kwa kutumia Roketi la Russia
Aug 09, 2022 05:38Satalaiti ya Iran ya Khayyam imerushwa katika anga za mbali kwa kutumia roketi la Russia la Soyuz-2.1b ikiwa ni hatua mpya ya uhusiano wa kistratijia baina ya Tehran na Moscow katika masuala ya anga za mbali.
-
Kan'ani: Utawala wa Israel unaoua watoto hauwezi kuzuia kuporomoka kwake
Aug 09, 2022 05:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametoa tamko baada ya kubainika kuwa watoto 15 waliuawa katika mashambulizi ya hivi karibuni ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kusema: "Utawala wa Israel ambao unawaua watoto, hauwezi kuzuia kuporomoka kwake kwa kuwaua watoto."
-
Iran: Makubaliano kamili ya nyukllia lazima yadhamini haki na manufaa ya taifa la Iran
Aug 09, 2022 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana jioni alifanya mazungumzo ya simu ya Josep Borrell, mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya na sambamba na kumpongeza kwa juhudi zake za kurahisisha kufikiwa makubaliano ya nyuklia huko Vienna amesema kuwa, makubaliano yoyote yale lazima yadhamini manufaa na haki ya taifa la Iran hasa kuondolewa vikwazo vya kidhulma ilivyowekewa.
-
Duru ya sasa ya mazungumzo ya Vienna yamalizika, ujumbe wa Iran warejea Tehran
Aug 08, 2022 22:25Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo umerejea nchini baada ya kumalizika duru ya sasa ya mazungumzo hayo yaliyofanyika mjini Vienna.
-
Mamilioni ya Wairani katika maombolezo ya Imam Hussein AS ya Siku ya Ashura
Aug 08, 2022 07:19Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameshiriki kwenye vikao vya maombolezo ya kukumbuka dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala katika Siku ya Ashura.