-
Waislamu Iran, Nigeria waungana na wenzao kote duniani katika maombolezo ya Ashura
Aug 08, 2022 03:03Wananchi Waislamu hapa Iran na Nigeria jana na leo wameungana na mamilioni ya wafuasi wengine wa Ahlul-Baiti (as) duniani kote katika kumbukumbu ya mauaji ya mjukuu wa Mtume SAW, Imam Hussein AS.
-
Iran yalaani kuvunjiwa heshima Qurani, matukufu ya Kiislamu Ujerumani
Aug 08, 2022 02:29Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali kitendo cha kichochezi cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu, na kutusiwa matukufu ya Kiislamu nchini Ujerumani.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Qatar wazungumzia jinai za Israel dhidi ya Wapalestina
Aug 07, 2022 23:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo na mwenzake wa Qatar na kusema: "Harakati za Mapambano (muqawama) zina mpango kamili wa kutoa jibu kali na lenye taathira kwa jinai za utawala wa Kizayuni."
-
Ushujaa wa vijana wa Palestina, Yemen ni matunda ya Mapinduzi ya Kiislamu
Aug 07, 2022 22:40Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani jinai zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza, amesema ushujaa wa vijana wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Wananchi wa Iran washiriki katika Tasua ya Imam Hussein AS
Aug 07, 2022 10:51Waislamu nchini Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua.
-
Iran: Kimya cha Jamii ya Kimataifa kwa jinai zinazofanywa na Wazayuni Gaza kinasikitisha
Aug 07, 2022 08:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kimya kinachoonyeshwa na jamii ya kimataifa na wanaodai kuwa watetezi wa haki za binadamu kwa jinai zinazofanywa na Wazayuni katika Ukanda wa Gaza kinaumiza na kinasikitisha.
-
Iran na Afrika Kusini zalaani jinai za Wazayuni katika Ukanda wa Ghaza
Aug 07, 2022 02:50Iran na Afrika Kusini zimelaani vikali jinai za kinyama zinazoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu ashiriki katika maombolezo ya Tasua ya Imam Husain AS
Aug 06, 2022 22:31Usiku wa kuamkia leo umesadifiana na usiku wa mwezi tisa Mfunguo Nne, Muharram, siku ambayo ni maarufu kwa jina la Tasua ya Imam Husain AS.
-
Kustawisha mabadilishano ya kibiashara na nchi za Kiafrika ni katika vipaumbele vya Iran
Aug 06, 2022 07:03Hamid Forozan Mkurugenzi Mkuu wa Masuala ya Kimataifa wa Wizara ya Ushirikiano, Kazi na Ustawi wa Jamii ya Iran amesisitiza kuwa, uwezo wa nchi za Kiafrika umeandaa msingi mzuri wa kustawisha biashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Raisi alaani ukatili wa Israel dhidi ya Wapalestina Gaza, IRGC yatoa neno
Aug 06, 2022 06:30Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel yaliyopelekea kuuawa shahidi na kujeruhiwa makumi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.