-
Iran: Kinachotugusa zaidi katika mazungumzo ya nyuklia ni manufaa kiuchumi
Aug 05, 2022 23:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kinachoishughulisha zaidi Tehran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna ni manufaa yake ya kiuchumi.
-
Eslami: Viwanda na teknolojia ya ulinzi ya Iran iko mbele muda wote
Aug 05, 2022 23:21Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesisitiza kuwa, viwanda vya silaha na sekta ya teknolojia ya ulinzi ya Iran daima iko mstari wa mbele.
-
Hujjatul Islam Akbari: Imam Hussein aliarifisha wazo la 'Muqawama' kwa waumini
Aug 05, 2022 07:54Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema Imam Hussein (AS) aliarifsha hoja ya muqawama kwa waumini wote wa Kiislamu, na kwamba mapambano ndiyo njia pekee ya kupata mafanikio.
-
IRGC: Wakati wa Marekani kuweko Asia Magharibi umefikia tamati
Aug 05, 2022 06:31Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema wakati umefika wa kuondoka Marekani katika eneo la Asia Magharibi kutokana na kupoteza kwake udhibiti na ushawishi katika eneo hili.
-
Kongamano la Dunia la 'Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)' limefanyika leo
Aug 05, 2022 03:44Mjumuiko maalumu wa 'Vichanga Vinyonyavyo vya Imam Hussein (AS)' umefanyika leo sambamba na Ijumaa ya kwanza ya mwezi wa Muharram katika maeneo 7,500 nchini Iran na katika nchi zingine 45 duniani.
-
Iran: Haki za Binadamu za Kiislamu zinawapatia wanadamu wote fursa ya maisha bora
Aug 05, 2022 03:43Tume ya Haki za Binadamu ya Iran imeeleza katika taarifa ya kuadhimisha "Siku ya Haki za Binadamu za Kiislamu na Utukufu wa Mwanadamu" kwamba mahubiri ya Haki za Binadamu za Kiislamu yanawapatia wanadamu wote fursa ya maisha bora na kusimama pamoja kwa ajili ya kuleta amani na kuishi kwa masikilizano.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuhusu kuunga mkono sera ya China Moja
Aug 05, 2022 02:40Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza uungaji mkono wa Iran kwa sera ya "China Moja" na kusema: 'Hatua za kichochezi za Marekani zimekuwa tishio kubwa kwa amani na uthabiti wa kimataifa.'
-
Rais wa Iran: Wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni
Aug 04, 2022 22:26Rais Ebrahim Raisi amesema, leo wananchi wa mataifa ya Kiislamu ya eneo wanauchukia mno utawala ghasibu wa Kizayuni na wanaamini kuwa Muqawama na mapambano ndio njia kuu na ya msingi ya kukabiliana na utawala huo.
-
Iran yawatia mbaroni wanachama wa ISIS waliotaka kushambulia maombolezo ya Muharram
Aug 04, 2022 20:45Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni wanachama kumi wenye mfungamano na Wazayuni wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS (Daesh).
-
Ujumbe wa Iran wawasili Vienna, mazungumzo ya uondoaji vikwazo yaanza
Aug 04, 2022 06:52Ujumbe wa Iran umewasili mjini Vienna kwa ajili ya duru mpya ya mazungumzo ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu vya Marekani ambayo imepangwa kuanza leo.