-
Ukosoaji wa Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran dhidi ya wanaodai kutetea haki za binadamu
Aug 04, 2022 03:19Hujjatul Islam wal Muslimin Gholamhossein Mohseni-Ejei, Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, amekosoa utendakazi wa wale wanaodai kutetea haki za binadamu na kusema: Wanaodai kutetea haki za binadamu huko Magharibi hawawezi hata kueleza maana ya mwanadamu kwa njia sahihi.
-
Spika wa Bunge la Iran: Jihadi na mapambano ndiyo njia pekee ya ushindi
Aug 04, 2022 02:43Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) ameonana na Katibu Mkuu wa Jihadul Islami ya Palestina na kusisitiza kuwa, njia pekaa ya ushindi ni jihadi na mapambano.
-
Iran yapongeza na kuunga mkono kurefushwa usitishaji vita nchini Yemen
Aug 04, 2022 02:41Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Yemen amefanya mazungumzo na mshauri wa ngazi za juu wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambapo Tehran imesema kuwa imefurahishwa na hatua ya kurefushwa muda wa usitishaji vita nchini Yemen.
-
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: Timu ya mazungumzo ya Iran kuelekea Vienna
Aug 03, 2022 22:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa timu ya mazungumzo ya Iran itaelekea Vienna, Austria kwa lengo la kuendeleza mazungumzo na kupata ufumbuzi wa kuiondolea Iran vikwazo vya kidhulma dhidi yake.
-
Mjukuu wa Mandela: Mapinduzi ya Kiislamu yameipa ilhamu Afrika Kusini
Aug 03, 2022 08:02Mjukuu wa rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yanatoa ilhamu na motisha kwa taifa hilo la kusini mwa Afrika.
-
Mkuu wa Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain: Ubaguzi wa kimadhehebu ni mfano mmoja tu wa ukiukaji wa haki za binadamu nchini Bahrain
Aug 03, 2022 06:20Mkuu wa Jumuiya ya Haki za Binadamu ya Bahrain amesisitiza kuwa, ubaguzi wa kidini na kimadhehebu na kubomolewa misikiti ya Waislamu wa Kishia ni miongoni mwa vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu vinavyoshuhudiwa nchini humo.
-
"Kuweka gesi katika mashinepewa ni jibu la Iran kwa vikwazo vipya vya US"
Aug 03, 2022 00:07Waziri wa Mambo ya Nje ya Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu ya kuanza kumimina gesi ya urani katika mamia ya injini za mashinepewa (centrifuge) za kisasa za Tehran ni jibu kwa uraibu wa kiwendawazimu wa Marekani wa kuliwekea vikwazo vipya taifa hili.
-
Rais wa Iran kushiriki mkutano wa Baraza Kuu la UN jijini New York
Aug 02, 2022 22:05Msemaji wa Serikali ya Iran amesema Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran atashiriki mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mwezi ujao.
-
Rais, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kuitembelea Afrika Kusini karibuni
Aug 02, 2022 22:02Balozi wa Afrika Kusini mjini Tehran amesema Rais Ebrahim Raisi wa Iran na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hii, Hossein Amir-Abdollahian wanatazamiwa kufanya ziara ya kuitembelea Afrika Kusini karibuni.
-
Iran: Wazayuni hawaelewi lugha yoyote isipokuwa mabavu na vita
Aug 02, 2022 06:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni hauelewi lugha nyingine yoyote isipokuwa mabavu na vita.