-
Iran yajibu hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya
Aug 02, 2022 05:57Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu licha ya kudai kiuongo kuwa inataka yafanikiwe mazungumzo ya kuondolewa vikwazo Iran kupitia mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Gharib Abadi: Tuzo ya Haki za Binadamu za Kiislamu watatunukiwa Shireen Abu Akleh na Mandla Mandela
Aug 02, 2022 03:39Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, tuzo ya saba ya mkutano wa kila mwaka wa Haki za Binadamu za Kiislamu atatunukiwa mwandishi wa habari Shahidi Shireen Abu Akleh na Mandla Mandela mpigavita ubaguzi wa rangi wa Apathaidi katika kuwaunga mkono watu wa Palestina.
-
Idadi ya watu walioaga dunia Iran katika mafuriko ya hivi karibuni yafikia 76
Aug 02, 2022 03:09Mkuu wa shirika la kukabiliana na majanga katika wizara ya mambo ya ndani ya Iran amesema, idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyotokea hivi karibuni imeongezeka na kufikia 76.
-
Eslami: Iran ina uwezo wa kiufundi wa kutengeneza bomu la nyuklia lakini haina nia ya kufanya hivyo
Aug 01, 2022 20:46Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa nchi hiyo ina uwezo wa kiufundi wa kutengeneza bomu la atomiki, lakini haina nia ya kufanya hivyo.
-
Iran: Tunafuatilia kwa karibu na kwa hisia kali matukio ya Iraq
Aug 01, 2022 04:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amegusia matukio ya nchini Iraq na kusema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inafuatilia matukio hayo kwa kina, kwa karibu na kwa hisia kali; na inasisitiza kuwa, mazungumzo ndiyo njia pekee ya kuweza kutatua matatizo ya ndani ya nchi hiyo.
-
Kani: Iran iko tayari kuipa Marekani fursa nyingine ya kujirudi
Jul 31, 2022 22:17Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kutamatisha mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Tehran haraka iwezekanavyo, sanjari na kuipa Marekani fursa nyingine ya kurekebisha makosa yake.
-
Mapigano yazuka baina ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban
Jul 31, 2022 07:13Gavana wa mji wa Hirmand ulioko kaskazini ya mkoa wa Sistan na Baluchistan kusini mashariki mwa Iran amesema, yamezuka mapigano kati ya askari wa kikosi cha mpakani cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wapiganaji wa kundi la Taliban la Afghanistan.
-
Raisi: Kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) kunathibitisha umuhimu mkubwa wa kuamrisha mema na kukataza maovu katika dini ya Uislamu
Jul 30, 2022 23:09Rais Ebrahim Raisi amesema, kuuawa shahidi kidhulma Imam Hussein (AS) ni ithibati kwamba kuamrisha mema na kukataza maovu kuna umuhimu mkubwa katika dini ya Uislamu
-
Wizara ya Upelelezi ya Iran yamnasa jasusi raia wa Sweden
Jul 30, 2022 06:11Maafisa wa Wizara ya Upelelezi ya Iran wamemtia nguvuni raia wa Sweden kwa kuhuma za kufanya ujasusi hapa nchini.
-
Iran inaunga mkono kikamilifu sera ya 'China Moja', inapinga 'uharibifu' wa Marekani
Jul 30, 2022 02:57Rais wa Iran Ebrahim Raisi anasema kuheshimiwa mamlaka ya kitaifa na kulindwa mipaka ya ardhi ya nchi ni miongoni mwa kanuni za kimsingi za sera za kigeni za Tehran huku akitangaza uungaji mkono thabiti wa Jamhuri ya Kiislamu kwa sera ya China Moja kuhusiana na Taiwan.