-
Iran: Mpango wa kijeshi wa nyuklia wa Israel ni tishio kwa usalama wa dunia
Jul 29, 2022 23:51Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema ustawi wa mpango wa kijeshi wa nyuklia wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kuendelea kukataa utawala huo vituo vyake vya nyuklia vikaguliwe na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) ni tishio kubwa kwa usalama wa kimataifa.
-
Ayatullah Khatami: Wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta zote wakiwa na Hijabu ya Kiislamu
Jul 29, 2022 06:20Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wanawake Wairani wameweza kunawiri katika sekta za kielimu, kisiasa, kiuchumi na usimamizi huku wakiwa wanazingatia Hijabu, vazi la staha la Kiislamu.
-
Kazi kubwa iliyofanywa na Jamhuri ya Kiislamu ya kubatilisha fikra kuu ya Magharibi ya kutenganisha Dini na Siasa
Jul 29, 2022 06:05Siku ya Jumatano ya tarehe 27 Julai, ambayo ilisadifiana na maadhimisho ya kusaliwa Sala ya kwanza ya Ijumaa kote nchini Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Maimamu wa Sala Ijumaa kutoka kila pembe ya nchi walikwenda kuonana na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Husainiya ya Imam Khomeini (MA).
-
Mafuriko yameua watu tisa katika eneo la Firuzkuh, Tehran
Jul 29, 2022 05:41Mkuu wa Mkoa wa Tehran amesema watu tisa ameuawa kufuatia mafuriko usiku wa kuamkia Ijumaa katika wilaya ya Firuzkuh iliyo katika milima ya mashariki mwa Tehran na kuongeza kuwa watu wengine 16 hawajulikani waliko na wengine 13 wamejeruhiwa.
-
Iran: Tunataka tufikie makubaliano mazuri, imara na ya kudumu ya nyuklia
Jul 28, 2022 22:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuhusu mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA ya kuondolewa vikwazo Tehran kwamba, Iran itaendeleza mazungumzo hayo na inachotaka ni kufikia makubaliano mazuri, imara na ya kudumu.
-
Hatua za Iran na nchi za Kiarabu za eneo zenye lengo la kuboresha uhusiano
Jul 28, 2022 21:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejadiliana na mawaziri wenzake wa Kuwait, Imarati, Oman na Qatar kuhusu uhusiano wa pande mbili na wa kieneo.
-
Raisi: Mahudhurio ya wananchi katika medani ndio nguzo kuu ya nguvu na usalama wa taifa
Jul 28, 2022 10:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kwamba mahudhurio na kushiriki wananchi katika nyanja mbalimbali za maendeleo ya taifa ndio sehemu muhimu zaidi ya nguvu ya kitaifa na usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Waziri: Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya Israel
Jul 28, 2022 03:35Wizara ya Intelijensia ya Iran imetekeleza oparesheni kadhaa zilizofanikiwa dhidi ya utawala wa Israel katika miezi ya hivi karibuni sambamba na kuzima idadi kubwa ya njama za utawala huo wa Tel Aviv na waitifaki wake magaidi dhidi ya Iran.
-
Iran inakaribisha njia ya diplomasia na mazungumzo
Jul 28, 2022 03:27Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anasema Tehran inakaribisha kuendelea njia ya diplomasia kwa madhumuni ya kufikia makubaliano juu ya kuondolewa vikwazo dhidi yake na kuhuisha mapatano ya nyuklia ya 2015, huku akihimiza Marekani izingatie uhalisia wa mambo.
-
Guterres: Shambulio dhidi ya walinda amani DRC linaweza kuwa uhalifu wa kivita
Jul 27, 2022 22:56Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amelaani vikali shambulio baya lililotokea tarehe 26 Julai huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mji wa Butembo, jimbo la Kivu Kaskazini dhidi ya askari wa kulinda amani wanaohudumu katika Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuleta utulivu nchini humo (MONUSCO).