-
Abdollahian: Iran iko tayari kuitatulia dunia mgogoro wa nishati
Jul 27, 2022 21:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kukidhi mahitaji ya nishati ya jamii ya kimataifa.
-
Kiongozi Muadhamu: Mwanamke wa Kiirani ametoa pigo kubwa kwa uongo wa Ustaarabu wa Magharibi
Jul 27, 2022 07:33Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Mwanamke mwenye hadhi na kipaji cha Iran ametoa pigo kubwa na muhimu zaidi kwa madai na uongo ya ustaarabu wa Magharibi, na suala hilo limewakasirisha mno Wamagharibi.
-
Borrell: Shinikizo la vikwazo vya juu kabisa dhidi ya Iran limefeli
Jul 27, 2022 03:34Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya Josep Borrell amekiri kuwa sera ya shinikizo la kiwango cha juu zaidi dhidi ya Iran imefeli na kugonga mwamba.
-
Karibuni hivi Ugiriki itarejesha shehena ya mafuta ya Iran iliyoiba
Jul 26, 2022 22:32Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ugiriki umetangaza kuwa operesheni ya kuyahamisha na kuyarejesha mafuta ya Iran yaliyoibwa itaanza hivi karibuni.
-
Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran: Kamera za usalama kwa sasa hazitawashwa
Jul 25, 2022 06:50Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran amesema kuwa, iwapo tuhuma dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran zitaendelezwa hakuna sababu ya kuwepo kamera katika taasisi za nyuklia za Iran.
-
"Marekani ikiwa na irada ya kisiasa kama Iran, makubaliano yatafikiwa"
Jul 25, 2022 06:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haitakubali kushinikizwa juu ya kufikia haraka muafaka wa kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Jenerali Hajizadeh: Karibuni hivi roketi la kubebea satalaiti la Qaem litakuwa tayari kutumwa angani
Jul 25, 2022 03:47Kamanda wa kikosi cha anga za mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema roketi la kubebea satalaiti la Qaem karibuni hivi litakuwa tayari kurushwa kwa ajili ya kutumwa katika anga za mbali.
-
Kuongezeka shughuli za kielimu za kimataifa za wasomi wa Kiirani licha ya kuwepo vikwazo
Jul 24, 2022 05:08Naibu Waziri wa Sayansi anayeshughulikia Masuala ya Utafiti amesisitiza kuwa shughuli za kielimu na kisayansi za kimataifa za wasomi wa Iran zimeongezeka licha ya kuwepo vikwazo vya kidhalimu dhidi ya taifa hili.
-
Uuzaji nje bidhaa zenye thamani ya dola milioni 836 za mashirika yenye msingi wa elimu ya Iran
Jul 24, 2022 04:03Naibu Waziri wa Diplomasia ya Kiuchumi wa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema uuzaji nje wa bidhaa zinazozalishwa na mashirika yenye msingi wa elimu ya Iran umefikia thamani ya dola 836.
-
Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel
Jul 24, 2022 03:14Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni majasusi kadhaa waliokuwa wakitumikia shirika la ujasusi la Israel (Mossad).