-
Iran yavunja mtandao wa majasusi wa Mossad ya Israel
Jul 24, 2022 03:14Wizara ya Intelijensia ya Iran imetangaza habari ya kutiwa mbaroni majasusi kadhaa waliokuwa wakitumikia shirika la ujasusi la Israel (Mossad).
-
Mazungumzo kati ya marais wa Iran na Ufaransa; Raisi akosoa sera za kuzusha migogoro za Wamagharibi
Jul 24, 2022 03:04Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, zzimio lililotolewa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki dhidi ya Iran ni hatua ya kuzusha mgogoro iliyokuwa na lengo la kuliwekea mashinikizo taifa la Iran.
-
Raisi: Azimio la IAEA dhidi ya Iran lilitia doa muamana wa kisiasa
Jul 23, 2022 22:57Rais wa Iran amesema azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lilikuwa na taathira hasi kwa muamana na irada ya kisiasa ya pande husika.
-
Iran kurusha satalaiti katika anga za mbali karibuni hivi
Jul 23, 2022 06:54Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu katika miezi michache ijayo itarusha satalaiti katika anga za mbali.
-
Iran yasisitiza utatuzi wa kisiasa kwa mgogoro wa Ukraine
Jul 23, 2022 02:44Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Hungary kuhusu uhusiano wa pande mbili na mgogoro wa Ukraine.
-
Sera ya kigeni ya serikali ya awamu ya 13 ya Iran; uwiano, harakati na busara
Jul 23, 2022 00:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, siasa za kigeni za serikali ya 13 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zimeegemezwa kwenye siasa za mambo ya nje zenye uwiano, diplomasia yenye harakati na nguvu pamoja na maingiliano yenye busara.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani iondoke Asia Magharibi, la sivyo itakiona cha moto
Jul 22, 2022 07:44Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema, Wamarekani wanapaswa kuondoka Maghariibi mwa Asia kabla hawajakabiliwa na tukio lingine kama lile la Afghanistan.
-
Iran yalaani mauaji ya raia wa Iraq, Uturuki yakanusha kuhusika na shambulio
Jul 21, 2022 22:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani shambulio lililofanywa katika mji wa Zakho na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kikamilifu uthabiti na usalama wa Iraq.
-
Jenerali Baqeri: Vikosi vya Iran vimekuwa na nafasi kubwa kusambaratisha vikwazo
Jul 21, 2022 08:42Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema vikosi vya ulinzi na usalama vya Jamhuri ya Kiislamu vimekuwa na nafasi muhimu katika kuvunja nguzo za kampeni ya maadui ya mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya taifa hili.
-
"Kambi ya muqawama iungane ili iweze kuwafukuza askari wa US katika eneo"
Jul 21, 2022 07:39Afisa wa ngazi ya juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi za kimuqawama zinapaswa kuendelea kushirikiana na kuimarisha uhusiano wao ili zifanikiwe kuwatimua wanajeshi vamizi wa Marekani nchini Syria na katika eneo lote la Asia Magharibi.