-
Sisitizo la kuwepo mabadilishano huru ya kifedha baina ya Iran na Russia, bila kutegemea Magharibi
Jul 02, 2022 01:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mabadilishano ya kifedha kati ya Iran na Russia yanapaswa kuzidishwa bila kutegemea mfumo wa miamala ya kifedha wa nchi za Magharibi.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Asia Magharibi haidhibitiwi tena na Marekani
Jul 01, 2022 08:48Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema eneo la Asia Magharibi halidhibitiwi tena Marekani, na kwamba hivi sasa lipo katika mikono ya mataifa ya Waislamu.
-
Iran iko tayari kusaidia utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo wa Ukraine
Jul 01, 2022 05:43Iran imesisitiza dhamira yake ya kuchangia katika utatuzi wa kidiplomasia wa mzozo unaotokota nchini Ukraine, ambao sasa unaingia mwezi wa tano.
-
Katibu Mkuu wa Baraza la Kukurubisha Madhehebu: Kulinda amani na kujitawala kwa nchi za Kiislamu ni jukumu la wote
Jul 01, 2022 03:33Katibu Mkuu wa Baraza la Kimataifa la Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesisitiza kuwa kulinda uthabiti, kujitawala na amani ya nchi za Kiislamu ni jukumu la Waislamu wote na akabainisha kwamba, ikiwa nchi isiyo ya Kiislamu itataka kuzivamia nchi za Kiislamu na kupora sehemu ya ardhi yake na utajiri wake, ni jukumu la kila mtu kusimama ili kuihami na kulinda ardhi hiyo.
-
Rais wa Iran na Mfalme wa Qatar wabadilishana mawazo kuhusu mazungumzo ya uondoaji vikwazo
Jun 30, 2022 22:14Rais Ebrahim Raisi amesisitiza kuhusu misimamo ya wazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu lilivyowekewa taifa hili.
-
Shukrani za makundi ya muqawama, vyama vya Lebanon na Palestina kwa Iran
Jun 30, 2022 20:37Wawakilishi wa ngazi ya juu wa makundi ya mapambano, vyama vya kisiasa vya Lebanon na harakati za mapambano ya ukombozi za Palestina zimeshukuru na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Mazungumzo ya Doha yamalizika, pande husika zaahidi kudumisha mawasiliano
Jun 30, 2022 03:45Mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani kuhusu uondoaji vikwazo yaliyoanza juzi Jumanne katika mji mkuu wa Qatar, Doha yamemalizika; huku pande mbili zikisema kuwa zitaendelea kuwasiliana juu ya marhala zijazo za mazungumzo hayo.
-
Raisi: Uwepo wa utawala wa Kizayuni unadhoofisha usalama wa eneo
Jun 29, 2022 22:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaibua taharuki na kudhoofisha usalama wa eneo hili la Asia Magharibi.
-
Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaitambua Bahari ya Kaspi kuwa bahari ya amani na urafiki
Jun 29, 2022 09:30Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa Sita wa Nchi za Pwani mwa Bahari ya Kaspi kuwa: Iran inaitambua bahari hiyo kuwa ni bahari ya amani na urafiki na kiunganishi cha watu wa eneo hili. Sayyid Ebrahim Raisi amesisitiza kuwa Iran iko tayari kwa ajili ya ushirikiano wa pande zote kwa msingi wa kuheshimiana na kuchunga maslahi ya pamoja.
-
Rais wa Iran: Bahari ya Kaspi ni urithi na mtaji wa nchi za pwani ya bahari hiyo
Jun 29, 2022 03:34Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, bahari ya Kaspi ni urithi na mtaji wa nchi za pwani ya bahari hiyo; ambapo watu zaidi ya milioni 270 wananufaika na bahari hiyo.