-
Gharib Abadi: Iran ni mhanga mkubwa wa ugaidi duniani
Jun 29, 2022 03:29Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema, zaidi ya watu elfu 25 nchini Iran wamepoteza maisha kutokana na vitendo vya kigaidi; ambapo uungaji mkono wa Marekani kwa jinai zote hizo unashuhudiwa.
-
Mazungumzo ya Doha; fursa kwa Marekani ya kurudi kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jun 29, 2022 03:04Mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani kuhusu uondoaji vikwazo yalianza jana Jumanne katika mji mkuu wa Qatar, Doha kwa kupitia kwa Enrique Mora, Naibu Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya.
-
Ukosoaji wa Iran kwa jamii ya kimataifa kwa kutowajibika ipasavyo katika vita dhidi ya dawa za kulevya
Jun 28, 2022 09:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nchi na taasisi za kimataifa duniani haziwajibiki katika vita dhidi ya mihadarati kwa mujibu wa majukumu yao.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Ushindi ndio matokeo ya kusimama kidete mbele ya maadui
Jun 28, 2022 09:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amehutubia kikao cha Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran na maafisa na wafanyakazi wa chombo hicho akisema matokeo ya kusimama kidete mbele ya maadui ni kupata ushindi na maendeleo.
-
Bagheri Kani aelekea Doha kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya JCPOA
Jun 28, 2022 03:36Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA anaelekea Doha, mji mkuu wa Qatar kwa ajili kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran: Utawala wa Kizayuni ndio adui namba moja wa umma wa Kiislamu
Jun 27, 2022 22:46Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Kizayuni ndio adui nambari moja wa ulimwengu wa Kiislamu.
-
Wiraza ya Mambo ya Nje ya Iran: Marekani ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu
Jun 27, 2022 22:23Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran imetoa ujumbe kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Haki za Binadamu za Kimarekani, ikiashiria visa vingi vya ukiukaji wa haki za binadamu na haki za kimataifa unaofanywa na Marekani.
-
Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama
Jun 27, 2022 22:15Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda.
-
Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi
Jun 27, 2022 06:59Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA itafanyika katika moja ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel
Jun 27, 2022 06:55Kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, sera ya Israel ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na chokochoko zozote za utawala huo katika eneo zitakabiliwa na jibu mwafaka.