-
Wiraza ya Mambo ya Nje ya Iran: Marekani ni mkiukaji mkubwa wa haki za binadamu
Jun 27, 2022 22:23Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran imetoa ujumbe kwa mnasaba wa kuanza Wiki ya Haki za Binadamu za Kimarekani, ikiashiria visa vingi vya ukiukaji wa haki za binadamu na haki za kimataifa unaofanywa na Marekani.
-
Indhari ya Waziri wa Usalama wa Iran: Magaidi hawatabakia salama
Jun 27, 2022 22:15Waziri wa Usalama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema magaidi wenye makao yao Albania hawatabakia salama kutokana na moto wa ulipizaji kisasi wa jinai walizotenda.
-
Mazungumzo ya kufufua JCPOA kufanyika katika Ghuba ya Uajemi
Jun 27, 2022 06:59Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema duru ijayo ya mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA itafanyika katika moja ya nchi za eneo hili la Asia Magharibi.
-
Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel
Jun 27, 2022 06:55Kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, sera ya Israel ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na chokochoko zozote za utawala huo katika eneo zitakabiliwa na jibu mwafaka.
-
Malengo ya safari ya Mustafa al Kadhimi mjini Tehran
Jun 27, 2022 06:09Mustafa la Kadhimi, Waziri Mkuu wa Iraq, baada ya kukutana na wakuu wa Saudi Arabia mjini Jeddah, moja kwa moja ameelekea Tehran Jumapili Juni 26 na kulakiwa rasmi na Rais Ebrahim Raeisi wa Iran.
-
Wazayuni wameingiwa na hofu kutokana na safari ya Mkuu wa Sera za Nje wa EU Tehran
Jun 27, 2022 03:36Waziri wa mambo ya nje wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, ambaye kila mara amekuwa akifanya uafriti na kuweka pingamizi dhidi ya mpango wa kuiondolea Iran vikwazo vya kidhalimu, ametoa matamshi ya uropokaji ya kukosoa safari ya Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya hapa mjini Tehran.
-
Amir-Abdollahian: Iran inaamini kwenye kutatua matatizo ya eneo kutokea ndani ya eneo lenyewe
Jun 26, 2022 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaamini kwenye kutatua matatizo ya eneo kutokea ndani ya eneo lenyewe na ameshukuru na kuthamini juhudi zinazofanywa na Iraq za kutilia nguvu mazungumzo na mchango wa nchi hiyo katika kuleta uwiyano wa kikanda na mazungumzo baina ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia.
-
Iran yafanyia majaribio yaliyofana kombora la kubeba satalaiti la Zuljanah
Jun 26, 2022 23:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanya majaribio yaliyofana ya kombora la Zuljanah la kubeba sataliti ambapo hili ni kombora la pili la utafiti kurushwa katika anga za mbali.
-
Rais wa Iran afanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Iraq mjini Tehran
Jun 26, 2022 10:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mchana wa leo amemlaki rasmi Waziri Mkuu wa Iraq hapa Tehran.
-
Shamkhani: Iran inataka makubaliano thabiti na ya kudumu
Jun 26, 2022 06:49Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ipo tayari kufikia makubaliano thabiti, ya kudumu na ya kutegemewa baina yake na kundi la 4+1 katika mazungumzo ya kujaribu kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, Austria.