-
Raisi: Iran haitaondoka kwenye meza ya mazungumzo ya JCPOA
Jun 26, 2022 03:47Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Iran haitaondoka kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya kuondolewa vikwazo.
-
Amir-Abdollahian: Iran inataka iwe na uhusiano na dunia ulio na uwiyano
Jun 25, 2022 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Iran inataka iwe na uhusiano na dunia ulio na uwiyano na kudumisha sambamba na kupanua uhusiano wake na bara la Ulaya.
-
Safari ya Borell Tehran; fundo la mazungumzo ya Vienna kufunguliwa au la?
Jun 25, 2022 05:47Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amegusia kuhusu safari ya Josep Borrell Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) hapa Tehran.
-
Iran yaanza ujenzi wa Awamu ya Pili ya Kituo cha Nyuklia cha Bushehr
Jun 25, 2022 03:40Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza ujenzi wa Awamu ya Pili ya Kituo cha Nyuklia cha Bushehr (Bushehr-2) kwa lengo la kuongeza uzalishaji wa nishati ya nyuklia nchini.
-
Iran yaahidi kuisaidia zaidi Afghanistan baada ya tetemeko la ardhi
Jun 25, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran iko tayari kutoa msaada zaidi wa kimatibabu kwa Afghanistan kutokana na tetemeko la ardhi lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 1,150 na uharibifu mkubwa nchini humo.
-
Raeisi: Iran ni mshirika endelevu wa BRICS katika nishati
Jun 24, 2022 23:51Rais Ebrahim Raeisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaweza kuwa mshirika endelevu wa kuunganisha nchi wanachama wa BRICS katika maeneo muhimu ya kupitisha nishati na masoko makubwa duniani kwa kuzingatia nafasi yake ya kipekee ya jiografia ya kisiasa na jiografia ya kiuchumi.
-
Iran: Mataifa ya Asia Magharibi yanapaswa kuamua kuhusu mustakabali wa eneo
Jun 24, 2022 07:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Asia Magharibi ndiyo yanayostahiki kuamua kuhusu mustakabali wa eneo hili la kistratijia.
-
Khatibzadeh: Uturuki isiyanyamazie madai ya kufarakanisha ya Wazayuni
Jun 24, 2022 03:37Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran amesema, inatarajiwa kuwa Uturuki haitanyamazia kimya madai ya kufarakanisha yaliyotolewa na wazayuni.
-
Mahakama Iran yaitoza US faini ya bilioni 4.3 kwa mauaji ya wanasayansi wa nyuklia
Jun 23, 2022 20:48Mahakama moja nchini Iran imeipata na hatia serikali ya Marekani na makumi ya taasisi na maafisa wa nchi hiyo kwa kuunga mkono na kushirikiana na utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mauaji dhidi ya wanasayansi wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Lavrov: Russia inaunga mkono msimamo wa Iran katika kufufua JCPOA
Jun 23, 2022 08:00Waziri wa mambo ya nje wa Russia amesema nchi yake inaunga mkono, bila kuongezwa wala kupunguzwa, yaliyomo katika msimamo wa Iran kuhusiana na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.