-
Raisi asisitiza: Ni marufuku kuwepo kivyovyote na kuingilia nchi ajinabi katika bahari ya Kaspi
Jun 23, 2022 03:33Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu umuhimu wa kushirikiana nchi majirani katika eneo la Kaspi na kupigwa marufuku uwepo wowote wa wanajeshi ajinabi katika eneo hilo hasa katika mazingira maalumu ya eneo la Pwani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Safari ya Lavrov mjini Tehran; ushirikiano wa muda mrefu kati ya Iran na Russia kwenye ajenda ya mazungumzo
Jun 23, 2022 03:17Sergey Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia aliwasili mjini Tehran Jumatano alasiri ambapo ameonana na kuzungumza na Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Afisa wa Iran: Ubaguzi umekita mizizi katika historia ya Uingereza
Jun 22, 2022 23:08Ubaguzi na udhalilishaji wa binadamu ni mambo yaliyokita mizizi katika historia ya Uingereza. Hayo yamesemwa na Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran, Kazem Gharibabadi katika ujumbe wake kwa njia ya Twitter.
-
Ukosoaji mkali wa Tehran dhidi ya ripoti ya UN kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran
Jun 22, 2022 21:53Kamati ya Haki za Binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa kujibu ripoti ya hali ya haki za binadamu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyowasilishwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye kikao cha 50 cha Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo.
-
Iran yaanza kutuma misaada kuwasaidia waathirika wa tetemeko la ardhi Afghanistan
Jun 22, 2022 09:14Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Kabul umetangaza kuwa ndege ya kwanza yenye misaada kutoka Iran imeshawasili Afghanistan kwa ajili ya kuwasaidia waathirika wa mtetemko wa ardhi kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Khatibzadeh: Ripoti ya UN dhidi ya Iran ni ya kisiasa na haina insafu
Jun 22, 2022 03:28Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Saeed Khatibzadeh amesema, azimio lililopitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini Iran limetokana na matashi ya kisiasa, la kiuhasama na halikuzingatia insafu.
-
Majasusi wa Mossad waliokamatwa Iran walipanga kuua wanasayansi wa nyuklia
Jun 21, 2022 22:13Afisa wa mahakama ya Iran amesema majasusi watatu wanaofanya kazi katika shirika la ujasusi la Israel Mossad, waliokamatwa mwezi Aprili, walikuwa wakipanga kuwaua wanasayansi wa nyuklia wa Iran.
-
Kiongozi Muadhamu: Mpango wa adui ni kudhoofisha imani na matumaini na kuonyesha viongozi wamekwama na hawana uwezo
Jun 21, 2022 09:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, mpango wa adui ni kudhoofisha imani na matumaini na kutaka ionekane kwamba viongozi wamefika kwenye mkwamo na hawajui namna ya kuendesha nchi.
-
Safari ya Biden Saudi Arabia; dhihirisho halisi la haki za binadamu za Kimarekani
Jun 21, 2022 05:49Katika uhusiano wake na Saudi Arabia, Marekani daima imekuwa ikifadhilisha maslahi ya mafuta kuliko haki za binadamu na kwa msingi huo safari ijayo ya Rais Joe Biden wa Marekani katika nchi hiyo ya Kiarabu haitakuwa kinyume na siasa hiyo wala si jambo la kushangaza.
-
Iran yalaani shambulio lililoua mamia ya watu nchini Ethiopia
Jun 21, 2022 03:24Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio lililopelekea kuuawa mamia ya watu katika eneo la Oromia nchini Ethiopia, na kueleza kuwa Tehran imesikitishwa mno na mauaji hayo ya halaiki.