-
Iran: Tuna nia ya kweli ya kufikia mapatano imara na madhubuti ya nyuklia
May 26, 2022 06:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran ina ni ya kweli ya kufikia makubaliano yenye nguvu na madhubuti ya nyuklia katika mazungumzo ya mjini Vienna Austria.
-
Kiongozi Muadhamu: Kudumu kuwa mwanamapinduzi ni muhimu zaidi kuliko kuwa tu mwanamapinduzi
May 25, 2022 08:17Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa kuendelea kubaki kuwa mwanamapinduzi ni muhimu zaidi kuliko kuwa tu mwanamapinduzi.
-
Iran yasambaratisha genge la magendo ya silaha kusini mashariki mwa nchi
May 24, 2022 23:02Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi la mkoa wa Sistan va Balichustan ametangaza habari ya kusambaratishwa genge la magendo ya silaha kwenye mkoa huo wa kusini mashariki mwa Iran.
-
Jenerali Salami: Uchokozi wowote wa adui dhidi ya Iran utakabiliwa na jibu kali
May 24, 2022 06:48Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema damu ya Shahidi Hassan Sayyad Khodaei haitamwagika bure na kusisitiza kuwa, hatua na uchokozi wowote wa adui utakabiliwa na jibu kali.
-
Iran yalaani hatua ya jamii ya kimataifa ya kupuuza jinai za utawala wa Kizayuni
May 24, 2022 06:36Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani namna jamii ya kimataifa inavyopuuza jinai za kukaririwa za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema jambo hilo limeufanya utawala huo upate kiburi zaidi cha kuendeleza jinai na uchokozi.
-
Spika: Mauaji ya Shahidi Khodaei yameweka wazi zaidi woga na ushenzi wa utawala wa Kizayuni
May 24, 2022 03:48Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema tukio la kigaidi la mauaji ya Mlinzi wa Haram Shahidi Hassan Sayyad Khodaei kwa mara nyingine tena limeweka wazi zaidi sura iliyojaa woga na ukatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Raisi: Uhusiano mzuri wa Iran na Oman utaongeza ushirikiano wa kikanda
May 23, 2022 22:40Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, misimamo ya Iran na Oman katika masuala mengi inakaribiana sana na akaongeza kuwa, uhusiano mzuri wa nchi hizo mbili utaongeza ushirikiano wa kikanda.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Oman wafanya mazungumzo mjini Muscat
May 23, 2022 20:49Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman wamefanya mazungumzo ya pamoja mjini Muscat na kutilia mkazo wajibu wa kuimarishwa zaidi na zaidi uhusiano wa nchi hizi mbili ndugu.
-
Iran na Afrika Kusini zitilia mkazo wajibu wa kustawishwa uhusiano baina yao
May 23, 2022 20:48Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ametilia mkazo wajibu wa kuimarishwa ushirikiano baina ya nchi yake na Afrika Kusini na kusisitiza kuwa, kutiwa nguvu ushirikiano baina ya Tehran na Pretoria ni jambo la dharura sana kwa ajili ya kupambana na fikra potofu ya kila nchi kujikumbizia mambo yote upande wake.
-
Iran na Oman zatiliana saini hati 12 za kustawisha ushirikiano + Video
May 23, 2022 10:38Leo Jumatatu, Rais Ebrahim Raisi amefanya ziara rasmi ya siku moja nchini Oman na kupokewa kwa heshima zote na Sultan Haitham bin Tariq wa nchi hiyo.