-
Iran; mhanga na mlengwa wa kila mara wa ugaidi
May 23, 2022 06:15Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa hakikisho kuwa, damu ya Shahidi Hassan Sayyad Khodaei italipiziwa kisasi na akasisitiza kwamba, hakuna shaka mkono wa Uistikbari wa dunia unaonekana katika mauaji hayo.
-
SEPAH: Maadui wamedhihirisha tena dhati ya shari yao kwa kumuua shahidi Sayyad Khodaei
May 23, 2022 05:14Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limelaani mauaji ya mmoja wa askari wake ambaye ni mlinzi wa Haram na kueleza kwamba, maadui kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kuuawa shahidi Sayyad Khodaei
May 23, 2022 03:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema maadui wa mfumo mtakatifu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi na kumuua shahidi mmoja kati ya askari wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Rais wa Iran yuko safarini Oman kwa lengo la kuimarisha uhusiano
May 23, 2022 02:59Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo yuko safarini nchini Oman kwa lengo la kuimarisha uhusiano wa nchi hizi mbili jirani.
-
Iran yajikarabatia kikamilifu ndege za kivita aina ya F-14
May 23, 2022 02:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweza kujikarabatia kikamilifu ndege ya kivita ya Kimarekani F-14 kwa kutegemea wataalamu wa Kikosi cha Anga na mashirika ambayo msingi wake ni elimu nchini na sasa ndege hiyo inaruka angani kama kawaida.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kuimarishwa uhusiano na Afrika
May 23, 2022 02:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini na kusema: "Iran haina vizingiti vyovyote katika kustawisha uhusiano na Afrika Kusini na hasa serikali mpya ina azma ya kuimarisha zaidi uhusiano na nchi za Afrika."
-
Askari wa IRGC Mlinzi wa Haram auawa shahidi katika hujuma ya kigaidi
May 22, 2022 23:22Idara ya Mahusiano ya Umma ya Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetangaza kuwa mmoja wa askari wake ambaye ni Mlinzi wa Haram ameuawa shahidi katika hujuma ya kigaidi mjini Tehran Jumapili jioni.
-
Iran ni miongoni mwa nchi 10 duniani zinazotengeneza na kurusha satelaiti katika anga za mbali
May 22, 2022 23:15Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Issa Zarepour amesema, Iran ni miongoni mwa nchi 10 duniani zinazotengeneza na kurusha satelaiti katika anga za mbali na kusisitiza kuwa sekta hiyo inailetea Iran nguvu na teknolojia mpya.
-
Qatar: Kutatuliwa faili la nyuklia la Iran kutaongeza uthabiti katika eneo la Ghuba ya Uajemi
May 22, 2022 03:30Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Qatar amesema kuwa, kupatiwa ufumbuzi faili la nyuklia la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kutaongeza uthabiti katika nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Iran ina azma ya kufikia mapatano imara katika mazungumzo ya Vienna
May 21, 2022 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina azma ya kufikia mapatano mazuri, imara na ya kudumu na nchi za Magharibi katika mazungumzo ya Vienna.