-
Iran ina azma ya kufikia mapatano imara katika mazungumzo ya Vienna
May 21, 2022 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina azma ya kufikia mapatano mazuri, imara na ya kudumu na nchi za Magharibi katika mazungumzo ya Vienna.
-
Iran: Ikiwa Marekani itachukua hatua kimantiki, mwafaka utaweza kupatikana
May 19, 2022 22:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Hossein Amir-Abdollahian amesisitiza kuwa ikiwa Marekani itachukua hatua kimantiki, mwafaka utaweza kupatikana.
-
Khatibzadeh: Mapinduzi ya Kiislamu yameutambulisha kwa ulimwengu utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi
May 19, 2022 08:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu amesema, Mapinduzi ya Kiislamu yameutambulisha duniani utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi.
-
Iran: Ripoti ya Umoja wa Mataifa imeifedhehesha kwa mara nyingine Marekani
May 19, 2022 02:42Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa ya kukiri kuwa, vikwazo ilivyowekewa Iran si halali na ni kinyume maadili ya kibinadamu, ni fedheha nyingine iliyoikumba Marekani.
-
Mokhber: Uhusiano wa Iran na nchi za Afrika umeingia mkondo mpya
May 18, 2022 21:56Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na nchi za Afrika ikiwemo Ghana umechukua mkondo mpya.
-
Ripota maalumu wa UN: Marekani isimamishe vikwazo vyote vya upande mmoja dhidi ya Iran
May 18, 2022 09:59Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa anayefuatilia taathira hasi za hatua za upande mmoja kwa haki za binadamu ameitaka Marekani isimamishe vikwazo vyote vya upande mmoja ilivyoiwekea Iran na kusisitiza kuwa kuiwekea vikwazo Iran ni ukiukaji wa haki za binadamu.
-
Iran: Jumuiya za kimataifa zinapasa kuchukua hatua za maana kuhusu Afghanistan, Palestina na Yemen
May 18, 2022 00:05Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jumuiya na asasi za kimataifa zinapasa kuchukua hatua za maana kuhusiana na matukio ya Afghaniistan, Palestina na Yemen.
-
Iran: Mazungumzo ya kuondolewa vikwazo yanaendelea ili kutatua masuala yaliyobaki
May 17, 2022 08:01Abbas Golroo, mjumbe wa kamati ya usalama wa taifa na sera za nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, kwa mujibu wa mashauriano ya karibuni yaliyofanywa na mwakilishi wa Umoja wa Ulaya, mazungumzo ya kuondolewa vikwazo yanaendelea ili kutatua masuala yaliyobaki.
-
Khatibzadeh: Marekani inapaswa kuchukua maamuzi ya kisiasa
May 16, 2022 22:34Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria safari ya mratibu wa mazungumzo ya nyuklia ya Vienna, ubunifu na mapendekezo maalumu ya Iran na kusema kuwa, Marekani inapaswa kuchukua maamuzi ya kisiasa.
-
Iran: Kitendo cha Wazayuni cha kushambulia jeneza la Abu Akleh kimeonesha dhati ya ukatili ya Israel
May 16, 2022 06:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha wanajeshi wa utawala wa Kizayuni cha kulishambulia jeneza la mwandishi wa Kipalestina, Shireen Abu Akleh kimeonesha sura halisi ya kikatili ya utawala dhalimu wa Israel.