-
Kiongozi Muadhamu awataka wasomaji wa tungo za kuwasifu Ahlul-Beiti (as) kukabiliana na propaganda dhidi ya Iran
Jan 23, 2022 08:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewataka wasomaji wa tungo za mashairi ya kuwasifu Ahlul-Beiti (as) kutumia nafasi waliyonayo kwa ajili ya kukabiliana na propaganda za vyombo vya habari dhidi ya taifa la Iran.
-
Spika Qalibaf: Sera za nje za serikali ya 13 zimefungua dirisha jipya kwa ajili ya kudhamini maslahi ya taifa
Jan 23, 2022 04:44Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema, sera za nje za serikali ya 13 zimefungua dirisha jipya kwa ajili ya kudhamini maslahi ya taifa.
-
Mazoezi ya pili ya kijeshi baina ya Iran, Russia na China katika Bahari Hindi
Jan 23, 2022 04:25Nchi za Iran, Russia na China, Ijumaa tarehe 21 Januari zilifanya mazoezi ya pili ya pamoja ya kijeshi katika eneo la kaskazini mwa Bahari Hindi chini ya kaulimbiu ya Mkanda wa Usalama wa Baraharini 2022.
-
Rais Raisi: Iran inautazama uhusiano na Uturuki kwa jicho la malengo ya muda mrefu na ya pande zote
Jan 22, 2022 23:49Rais Ebrahim Raisi amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inautazama uhusiano na ushirikiano wake na Uturuki kwa jicho la malengo ya muda mrefu na ya pande zote.
-
Iran yalaani jinai za wavamizi wa Yemen dhidi ya raia wa kawaida
Jan 22, 2022 10:40Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya anga ya wavamizi wa Yemen katika makazi ya raia na kuua kwao kwa umati wananchi wa kawaida wasio na hatia.
-
Iran yakosoa azimio la Baraza Kuu la UN kuhusu Holocaust
Jan 21, 2022 23:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani kitendo cha kutengwa Tehran katika azimio la Holocaust katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuitaja hatua hiyo kuwa ni utumiaji mbaya wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa mifumo na taasisi za kimataifa ili kuficha jinai na uhalifu wake.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Ramani ya njia ya ushirikiano wa Iran na nchi zingine inazingatia maslahi ya taifa
Jan 21, 2022 10:09Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaandaa ramani ya njia ya ushirkiano na nchi zingine kwa kuzingatia maslahi yake ya taifa.
-
Mkutano wa marais wa Iran na Russia waakisiwa na vyombo vingi vya habari vya Marekani
Jan 21, 2022 09:54Mkutano na mazungumzo yaliyofanywa na marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia yameakisiwa mno na vyombo vya habari vya Marekani.
-
Ebrahim Raisi: Ni matumaini yangu ziara yangu nchini Russia itakuwa imezaa matunda bora
Jan 21, 2022 04:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mapema leo asubuhi mara baada ya kuwasili hapa Tehran kutoka kwenye ziara yake ya kikazi nchini Russia kwamba, ana matumini ziara yake hiyo itakuwa imezaa matunda bora ya kustawisha uhusiano wa pande mbili.
-
Ebrahim Raisi: Siri ya kuwa Muislamu wa kweli ni kuijenga nafsi na kuwa mwema kwa wengine
Jan 20, 2022 23:48Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mbele ya Waislamu wa Msikiti Mkuu wa Moscow, mji mkuu wa Russia kwamba, Misikiti ni nyumba za Mwenyezi Mungu ardhini na inamlea vizuri Muislamu na jamii yake.